Tulidanganywa Kutakuwa na Mabasi yanayoenda Kasi

Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo ya kasi watatuletea lini?
Haya si haba hayasimami vituo ving sana kama daladala na hayana traffic jam but hayana kasi ambayo nlidhania yangekuwa nayo kama yanavyoitwa.
Kwa wale tulioenda nje ya nchi nadhan tunafaham train za kasi... Nlidhan at least hata kwa asilimia 40 tungekuwa na basi za namna hiyo. Kwa nini mlitudanganya?
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ooop ni lugha tu imemshinda ila hakuna kitu kama mabasi yaendayo kasi kilichofanyika hapo ni utaratibu ambao hata ulaya na nchi zilizoendelea hufanya ili kupunguza msongamano wa magari mjini,,,hivyo huweka alama ya BUS LANES kwa ajili ya mabasi tu na kwamba vyombo vingine havirusiwi humo
    Hivyo ni bus lanes zimejengwa ila kwa umbumbu wa Tanzania basi tunaita njia ya mabasi yaendayo kasi hata kama speed yake ni 20MPH,, UHURU UHURU UHURU mweee

    ReplyDelete
  2. Hauna shukurani bwwge wewe hiyo Kasi unayoitaka ya kwenda wapi wakati hayo mabasi hayana foleni na unafika kwa wakati inatakiwa tujivunie serikali imeweza kusaidia usafiri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weee unaoneka hujatoka wewe, kwenda nchi za watu au laaa hufanyi kazi, uwezi mwita bwege mwenzako laiti ungejua khaki yako ni Nini? Kwenye taifa lako, wewe inaelekea hulipi kodi, kwa hiyo unaona haya mambo ni misaaada. Au hujui hata taifa ambalo ni wewe na yule yeyote mtanzania uchumi unavunwa ni khaki ya kila raia, mkazi aishie Tanzania, kuna uchumi asilia mwingi sana Tanzania kama dhahabu, na vinginevyo, wakulima wanaolima mazao ya biashara kama kahawa vyote hivyo ni matokeo ya mapato hela hizi unazoona , hazitoki mifukoni kqa hao wanaijita viongozi, zinatoka mifukoni kwa watanzania wa kawaida sanaaa

      Delete
  3. Wabongo mnachekesha sana hakuna inchi yyt ambayo ina mabasi yaendayo kasi ispokuwa kuna treni tu iendayo kasi

    ReplyDelete
  4. Wabongo mnachekesha sana hakuna inchi yyt ambayo ina mabasi yaendayo kasi ispokuwa kuna treni tu iendayo kasi

    ReplyDelete
  5. Hakika wewe ni kilaza kabisa

    ReplyDelete
  6. Si mmezoea kudanganywa hasa, ule uongozi uliopita ndio ulianza na mara mwendo kasi, mara maisha bora kwa kila Mtanzania ali mradi tu hayo maisha bora yalikula kwake na familia yake na kundi lake, tumekuwa nchi ya wadanganyika kama si kusadikika, yamekaaa weee huo mwendo kasi mpka raisi mpya anaingia, yaani ule uongozi ni shidaaa kutwa kujaza mifuko yao

    ReplyDelete
  7. Jamani jamani watu wanaoelewe mambo hawana nafasi ya kufafanua jambo ndo maana mwingine anasema ni treni tu ndio huenda kasi,,, wapi mjini??? ehh jamani tram hazina speed ni swala lilelile la vyombo kuwa na njia ya pekee hata kwa baisikeli Ubungo-Posta ingekuwa mwendo kasi kama kungekuwa na njia ya baiskeli tu!!!! Utanzania unauma mara nyingine mweee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad