Mlio comment hapo juu nawapa pole sana mjue maendeleo ya nchi hii hayaletwi kwa fikra binafsi na hata mengi anayoyafanya mheshimiwa rais ni yale yaliyopigiwa kelele na upinzani ktk mabunge yaliyopita ila inaonyesha kabisa kuwa ukiwa CCM na huna madaraka makubwa kama ya rais basi wewe utakuwa shabiki tu wa kufuata kila watakalo ccm hata kama halina maendeleo kwa taifa.. nashangaa mnaoshabikia watoto wa kike kuachwa barabarani bila msaada hebu fikirieni wazazi wao wasiojiweza wapo katika hali gani? Kamwe sitopenda kuona watoto wa kike wanaachwa barabara na sio mashuleni kisha baada ya muda serikali inawatangazia vita kuwa ni machangu doa.. Rais anamsemo mmoja kuwa tumuogope MUNGU.Je ni kweli anamuogopa mungu kwa hili?
mbowe kelle za chura hazimtishi tembo kunywa maji kanye uko kama umevimbiwa
ReplyDeleteimani imani uwe na imani naye kwani huyo mkeo? acha ujimga wewe mezoea ushenzi meshenzika sasa
ReplyDeletedj mbowe unaweza kwani ulishakuwa dj
ReplyDeleteMlio comment hapo juu nawapa pole sana mjue maendeleo ya nchi hii hayaletwi kwa fikra binafsi na hata mengi anayoyafanya mheshimiwa rais ni yale yaliyopigiwa kelele na upinzani ktk mabunge yaliyopita ila inaonyesha kabisa kuwa ukiwa CCM na huna madaraka makubwa kama ya rais basi wewe utakuwa shabiki tu wa kufuata kila watakalo ccm hata kama halina maendeleo kwa taifa.. nashangaa mnaoshabikia watoto wa kike kuachwa barabarani bila msaada hebu fikirieni wazazi wao wasiojiweza wapo katika hali gani? Kamwe sitopenda kuona watoto wa kike wanaachwa barabara na sio mashuleni kisha baada ya muda serikali inawatangazia vita kuwa ni machangu doa.. Rais anamsemo mmoja kuwa tumuogope MUNGU.Je ni kweli anamuogopa mungu kwa hili?
ReplyDeleteUMESHIBA ANOUNYMOUS 1:16 PM AU UNATAFUTA KIKI MBONA UNAONGEA SANA
ReplyDeleteTena hiyo pole kampe shangazi yako
ReplyDelete