UKAWA yatangaza Kutokuwa na Imani na Naibu Spika

UKAWA yatangaza kutokuwa na Imani na spika, Inaandaa mchakato wa kupiga kura ya kumuondoa madarakani.

Yatangaza kususia vikao vyote atakavyo visimamia

Habari kamili Kufuata hivi punde
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbowe kelle za chura hazimtishi tembo kunywa maji kanye uko kama umevimbiwa

    ReplyDelete
  2. imani imani uwe na imani naye kwani huyo mkeo? acha ujimga wewe mezoea ushenzi meshenzika sasa

    ReplyDelete
  3. dj mbowe unaweza kwani ulishakuwa dj

    ReplyDelete
  4. Mlio comment hapo juu nawapa pole sana mjue maendeleo ya nchi hii hayaletwi kwa fikra binafsi na hata mengi anayoyafanya mheshimiwa rais ni yale yaliyopigiwa kelele na upinzani ktk mabunge yaliyopita ila inaonyesha kabisa kuwa ukiwa CCM na huna madaraka makubwa kama ya rais basi wewe utakuwa shabiki tu wa kufuata kila watakalo ccm hata kama halina maendeleo kwa taifa.. nashangaa mnaoshabikia watoto wa kike kuachwa barabarani bila msaada hebu fikirieni wazazi wao wasiojiweza wapo katika hali gani? Kamwe sitopenda kuona watoto wa kike wanaachwa barabara na sio mashuleni kisha baada ya muda serikali inawatangazia vita kuwa ni machangu doa.. Rais anamsemo mmoja kuwa tumuogope MUNGU.Je ni kweli anamuogopa mungu kwa hili?

    ReplyDelete
  5. UMESHIBA ANOUNYMOUS 1:16 PM AU UNATAFUTA KIKI MBONA UNAONGEA SANA

    ReplyDelete
  6. Tena hiyo pole kampe shangazi yako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad