Upinzani Bungeni, Wagoma Kusoma Hotuba Baada ya Kushinikizwa Kufuta Maneno

Godless Lema:Baada ya kamati ya kanuni na uongozi wabunge kuifanyia kazi na kuondoa vipengele hotuba ya kambi ya upinzani mambo ya ndani kama mauwaji ya kisiasa. Nyumba za serikali, Mkataba wa Lugumi, uchaguzi wa Zanzibar sakata la NIDA na Wizi wa Rada.Tumeamua kuiondoa hotuba Yote.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na watashindwa sana..Upotofu na uchochezi usione na mishipa hakutaki na tiba haipotei zaidi ya kuzua unnecessary mijadala ya kwenye vijiwe..Mpo wahesabiwa..UPUZI HATA TUTAKOMA..HAPA NI KAZI TU.

    ReplyDelete
  2. Hivi ndiyvo sawa sawa..Lugha/Maudhui/ ni muhimu katika jamila na mwelekeo..kuchanganya mambo kutatufanya sisi kutoielewa dhamira na lengo..HAPA KAZI TU KP KIBOKO YAO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad