Urusi Sasa kujikita Tanzania, yapanga Kujenga Mtambo wa Nyuklia Tanzania

Makampuni makubwa ya Viwanda na uzalishaji ya Kirusi ya "Russian Helicopters", "United Aircraft Corporation (UAC)" na "United Wagon Company (UWC)" yako tayari kuwekeza kwenye miradi ya viwanda nchini Tanzania.

Waziri wa viwanda wa Urusi amesema Urusi iko tayari kujenga nuclear reactor nchini Tanzania kwa ajili ya tafiti na kwa ajili ya mambo ya afya.

Huu ni mpango wa Urusi kufufua uhusiano wake na nchi za Afrika kwa upya tangu miaka ya 90 kwa kupitia mshirika wake wa zamani, Tanzania.

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtambo wa nuclear wabongo mnaona kijiko kweli irudieni tena history yao hao Warusi labda wengi wenu mmeishau au mlikuwa hamjazaliwa ile ajali ya nuclear iliyowahi kutokea Urusi hadi leo hii wanazaliwa watoto vilema watu wana magonjwa ambayo hayawezi kutibiwa shauri ya sumu za nuclear halafu leo hii wanataka kutuletea sisi ili balaa kama hilo lije litukute huku Ulaya inapigwa vita kila siku nyinyi mnasheherekea acheni ushamba amkeni Bob Marley aliwahi kuimba wimbo mmoja na kutia maneno haya"THINK YOU ARE LIVING IN PARADISE BUT YOU ARE LIVING IN YOUR OWN HELL TIME WILL TELL"

    ReplyDelete
  2. Whaat? You are kidding right? Hivi Nuclear TZ inaijua? Urusi inakula hasara hadi leo na ili affect had Ukraine. Huu sio utani i hope ni blah blah umasikini usipagawishe watu. Hii issue hata mambo ya guns naona TZ inafanya mchezo hatupendi ifikie kama nji zilizoendelea. Imagine sehemu kama USA gun control ni issue TZ itaweza? Kuweni makini na hivi vitu kabla havijashinda serikali.Tafureni wawekezaji wa maana na muwacharge bila kuchekacheka but stay away from Nuclear no matter what.God bless TZ

    ReplyDelete
  3. Chernobyl inakuja Tanzania?????? Hatari!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad