Video: Davido akimpiga shabiki wake nchini Uingereza

Davido ameonekana kwenye kipande cha video kinachomuonyesha akiwa na watu wake wakimpiga mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni shabiki nchini Uingereza.

davidoz

Kipande hiko cha video chenye urefu wa dakika moja kimesambaa na kuzua maswali mengi kwa mashabiki wake kama hilo tukio linaloonekana ni kweli au ilikuwa ni drama.

Ngoja tuone nini kitatokea baada ya tukio hilo kama ni kweli Davido amelifanya au ilikuwa ni kutafuta kick ya lebo yake ya DMW aliyoianzisha hivi karibuni.


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasenge wakubwa kupigana kwenyewe hawawezi halafu wanatafuta kiki za kijiiiingggaaaaaaaa mamaye zao.......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad