Video: Diamond Anyesha Mvua ya Hela Kwenye Birthday ya Mtoto wa Aunty Ezekiel

Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check video hiyo ujionee mwenyewe.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwenye hela hazitupi hv! tatizo ni umasikini ndiyo unasumbua!

    ReplyDelete
  2. Pesa zawadi nzuri lakini kimaadili naona Tanzania tunaanza kupotoka na show off ya hela wakati mtu umezungukwa na watu wenye shida. Inabidi tutafakari hii habari ya kutupiana hela.. Ni aina ya ushamba fulani hivi..

    ReplyDelete
  3. Filamu zenu wabongo kabla hamjaanza kucheza filamu zenu wenyewe wote mlikuwa mnaangalia sinema za kipopo(Nigeria)na mle wenye sinema za kipopo mipango hiyo ya kumwagamwaga mahela kwenye kila sherehe ndio zao sasa utamaduni huu ameu-adopt mmbongo mtoto akitoka jandoni imwagwe mihela sijui hiyo mnaiita birth day imwagwe mihela haya kuna hiyo pia mnaiita kitchen party imwagwe mihela sijui send-off ni mihela tu kweli masikini akiokota na matako hulia mbwata anasahau kuwa kuna kesho na keshokutwa mifano mnayo wenyewe wapo wapi wale waliokuwa na pozi za pesa za msimu nyinyi wenyewe utasikia ah yule naniii siku hizi amefulia au ah jamaa choka mbaya acheni tamaduni mila na desturi za kuiga ambazo haziwasaidii kitu chochote kile zaidi ya kuwapotosha mnamwagiana mihela hadharani wakati mitaani kuna watoto wasio na future wana njaa hawana pa kulala wanaumwa hawana pesa ya kuendea hospitali ili wakatibiwe duh noma

    ReplyDelete
  4. Wajiulize walisha kwenda party za kistaarabu wakaona watu wanamwagiana hela? Hii ni tabia ya washamba tu. Kundi zima hilo linahitaji mafunzo ya namna ya kuwa saa wa ukweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad