VIDEO: Mtazame Mbunge Lichongwe Sanamu la Diamond Platnumz Liwekwe Badala la lile Sanamu la Askari Samora

 Ulanga Goodluck Mlinga
May 13 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017. Katika kipindi cha kupokea michango ya maoni kutoka kwa Wabunge, Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga akaguswa na harakati za staa wa Bongo flava Diamond Platnumz…

’Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali naameitangaza nchi yetu huko mbele‘

‘Serikali hatuna mpango wowote wa kuwasaidia wanamuziki, wanapenya wenyewe tunaenda kukutana nao mbele na sisi tunajifanya kuwasaidia. Yuko wapi Mr. Nice?,hatujawawekea mfumo mzuri, ninaongea haya nikiyamaanisha’

Unaweza kumcheki kwenye hii video hapa chini…

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ama kweli watumia unga wengi bungeni
    Hivi anajuwa maana ya historia huyu anajuwa maana ya sanamu hiyo imetoka wapi na kwanini ipo Dar?
    pumbavu sana
    hii ndo kazi ya kurithishana ubunge CCM

    ReplyDelete
  2. waweke na sanamu ya wema pia

    ReplyDelete
  3. Mmhh hipo kazi. Huyo Diamond na ile sanamu pale.wapi na wapi? Ile sanamu pale ina maana na historia nzuri kwa taifa mpka kimataifa kushinda huyo Diamond, sanamu inatuwakilisha tulikotoka mpka sasa tulipo, ile sanamu ni mwafrica tena mtanganyika wa miaka hiyo, alipokuwa askali wa kikoloni na sio mwingereza ni mjerumani,tena unaweza kukuta historia hiyo mpka hata kwenye makblasha ya majumba yao ya historia huko kwa wenzetu wanaojielewa wameidadhi, kutopoteza historia ndio maana wakatuwekea pale tukumbuke tulikotoka mpka tulipo, elimu kitu muhimu, na kingine tuwe na tabia sisi wafrika ya kupenda kusoma vitabu unakuta mambo mengi tu yahusuyo bara hili lilipotoka mpka leo na mustakabali wake, sasa huyu anaejiona mbunge mjinga mjinga sizani kama ana hata uelewo.

    ReplyDelete
  4. very stupid, hive huyu mbuge anaakali kweli??????? ndio maana kenya wanatuita wambumbaveu kwaajili ya huh utumbo, hivi kweli mtu baada ya kuongelea mambo ya elimu unasimama mbele ya bunge unaongea pumba hivyo??? even my 11 years can do better than him lol

    ReplyDelete
  5. Hata jitahid kufikiri kabla hujaongea

    ReplyDelete
  6. Aiseeeee...ngachoka....hata haiba ya uheshimiwa hana...yani am out of words kwahiyo kwa kuchonga sanamu ndo tutawafikisha mbali aiseee....

    ReplyDelete
  7. Hili bunge fala kweli kaitangaza kwa lipi????????????
    Bayi aliyeweka recodi ya dunia Mtanzania wa kwanza kalipwa nini mpaka anastaafu kaishia umeja au kanali
    fyuuuuuuuu
    leo huyu kinda apewe heshima hiii
    kweli wavuta unga bungeni wengiiiiiiiiiiiiiiii
    Ulanga mlikosea sana tena si kama mama yake huyu hili ni JIPU TEJAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  8. Wachangia hoja za maana spika hawapi nafasi
    kweli CCM mnatisha sasa hivi tunaelewa kwanini hamtaki bunge lionyweshwe LIVE
    WATANZANIA TUAMKE PAMOJA NA KASI NZURI YA MAGUFULI HATOWEZA NDANI YA CCM

    ReplyDelete
  9. Kipengele cha kwanza elimu cha pili elimu na cha tatu elimu...sio kwa ujinga huu

    ReplyDelete
  10. OMG IS this happening in our BUNGE???? Hapo ni lazima tumleTE MKUDE SIMBA ILI WAELEWANA...MAANA YAKE KAVA SUTI LOTION MHESHIWA TEJAAAAAEAAAAAAAAA. huyu aishi sober house na c benzi

    ReplyDelete
  11. Loo nyie ndio mnajiita wabunge ama kweli akili ni nywele jamaani hivo we baba ni kweli unayo ya sema au unaota kwani diamond ni nani basi kama ni hivo alianza king Kiba baadae akafuata diamond kwa hivo tuanze na ya king kiba hebu zungumzeni ya maana sasa wewe unatuvunza nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad