VIDEO: Mtumbwi Kigamboni Dar es salaam Wasababisha Vifo

Habari za ajali ya kuzama kwa mtumbwi ambao ulikuwa unatumika kuwavusha watu kutoka upande wa soko kuu feri na kuelekea Kigamboni zilianza kuenea May 27 2016 ambapo Mtumbwi huo unasadikika kubeba watu zaidi ya 16 ambao baadhi yao wametoka wazima na watano wameripotiwa  kufa.

Ayo TV imezungumza na  Mratibu msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bashir Mazehebi ambaye amezungumza haya …………….’>>>’chombo kilichopata ajali ni Boti za fiber ambazo zinatumika mara kwa mara pale Kigamboni kunapokuwa na msongamano wa watu kuna biashara ya kuvusha watu huwa inafanyiaka, jana kulikuwa na msongamano wa watu pale hatimaye baadhi ya watu waliamua kupanda chombo hicho ambacho sio rasmi’

UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanza kabisa kitu cha kujiuliza hizo boti zinaruhusiwa kivipi kuwepo katika eneo hilo na kutoa huduma kwa wananchi wakati sio vyombo rasmi vya usafiri vilivyoidhinishwa!????? Kwa kweli huo ni uzembe wa hali ya juu na ni lazima mtu awajibishwe. Haiwezekani watu wapoteze maisha yao wakati kuna Idara husika na viongozi wao ambao wangeweza kudhibiti hayo majanga yasitokeee. Huo ni uzembe wa hali ya juu sana. Ninachoweza kusema hivyo vifo vilivyotokea ni preventable na kwa kweli vingeweza kuepukika ikiwa viongozi na wafanyakazi wa hiyo Idara husika wangekuwa makini. Jamani Nchi hii inaelekea wapi jamani. Mbona ni kasheshe!??????? Duh!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad