Video : Wema Sepetu na Martin Kadinda Wakiimba Wimbo wa Harmonize na Diamond Platnumz

Hii imekua ni wiki mbaya kidogo kwa msanii Harmonize kutoka WCB, mara baada ya video moja kusambaa sana mitandaoni ikimwonyesha akimtukana mwanadada Wema Sepetu. Ukweli ni kua Wema ameumizwa sana na video ile hadi kuenea kwa habari ambazo hazijathibitishwa kua kamfungulia kesi Harmonize.

Ambacho Harmonize hakujua ni kua Wema ni shabiki wake mkubwa kwani ni zaidi ya mara moja wema ameonekana akiimba wimbo wa msanii huyo. Na kitendo cha Wema kuona video ile kunaweza kufanya akaacha kua shabiki wa Harmonize.

 Unaweza tazama video ya Wema Sepetu na Martin Kadinda wakiimba wimbo wa Harmonize hapa chini

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa jaribu kufikiria eti hawa ndio wale "Role Models"wa Kitanzania. Sijui ndio wanataka kizazi hiki kijifunze nini kutoka kwao dah!! Yaani ni Full Majanga.....Full life wastage. Mpaka wanatia na huruma. Sijui Idrissa alikuwa wapi wakati huo!? Duh!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad