VIDEO ya Chura ya Snura Yawa Gumzo Marekani...

Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi Marekani.

Kipande hicho cha video kimetrend Marekani, shukrani kwa mchekeshaji Maarufu Lil Duval. Mchekeshaji huyo aliipost video hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni moja na kuandika:
“Why would a man want an independent American women when u can go grab u 3 of these? .... u bitches better step yo game up ”

Mtandao maarufu wa World Star Hip Hop uliirepost video hiyo kwenye akaunti yake yenye followers milioni 17.

Hata hivyo huenda Snura akapata kikwazo kutoka kwa serikali. Leo wizara Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo inakutana na waandishi wa habari kuzungumza kuhusu video hiyo. Jibu la madhumuni ya mkutano huo utalipata baadaye.

Kama hukufanikiwa kuiona Hii ndio VIDEO yake..

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je wewe uliyeiposti hiyo picha ya huyo dada anayecheza huo wimbo wa chura huku akizifua nguo umeuelewa huo msemo aliousema huyo mmarekani ana maana gani?Na siyo eti ameisifia hiyo video ya chura rudi tena kwenye evening english class ukai brush up your english languange again

    ReplyDelete
  2. Mmmh! Bora ifungiwe maana ule sio muziki, bali ni laana....wanawake watu wazima hovyo kabisa, wapo uchi wa mnyama kisa pesa!! Snura mwenyewe amewafanya wenzie wajinga, yeye hakuchez, amekaa pembeni kuwaelekeza tu "pandisheni matako juu" "panueni mapaja". Nadhani wangempeleka mahakamani ahukumiwe kifungo na faini ili awe fundisho kwa wajinga wengine wenye akili mbovu kama yeye

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad