Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na kusema pia hiyo ndo ilikuwa sababu moja wapo ya yeye kutangaza sana kuwa anamimba kipindi kile kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....
Jamani Punguzeni Kidogo
WEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram..Saa Zingine Nashindwa Kuvulimia"
10
May 09, 2016
Tags
Usiwashiriki viumbe mwanangu!! Rudi kwa Mola wako..Binaadamu watakupeleka pabaya..shika namba ya mungu Na ulibyo amza Na jamii Ni mfano nzuri endelea nawo..na kama utapenda kuishi Na sisi karibu mwanangu..na nasiha yangu kwaki keep low. Profile hapo msanii..yamuhimu fanya lakini yasiwe ya kukuharibia jina.yakupuuza yakupiuza unapuuza
ReplyDeleteNtakupa ushauri acha kujishau sana na ukiwa na boyfriend siyo lazima ufanye vitu mbele za watu kama vile french kisses.
ReplyDeletesio wote wanakupenda kama mimi
ReplyDeleteHalafu Wema ukiongea acha kuongea kumuigiza Kim Kardashian, kwa nini unaongea kama Kim Kardashian? wewe unayo dialekt yako ya kibongo kila mtu anajua unaboa sana unapoongea kumuiga Kim Kardashian, jirekebishe aisee ukiongea dialekt yako ya kibongo ndiyo unaongea vizuri sana tu kuliko kuiga wengine sababu huwezi kufanana na Kim hata siku moja yule yuko level ya juu sana kukupita wewe mara mia
ReplyDeleteHahaha anonymous 3:32 umesema yote. Feki ni feki tu. Anavyojua kujifananisha na wasiofananishwa. Kenda kuweka tako kichina ili awe kama Kim. Kaambulia mapande manne. Mmh Indriss hana kinyaa. Mimba feki aliivaa vibaya ikawa ina msuta lakini kwa ujinga wake alijua watu wameingia kingi. Range Rover iko wapi vile??? Hahahaha. Kiosk cha lipstick chali. Halafu limama lake lina back up upumbavu wa matako manne ya mwanae wakati linajua ni feki. Bora niwe yatima kuliko kuwa na limama kubwa jinga kaa la Wema.
Deleteyanakupata yote kwa visa vyako mtoto
ReplyDeleteungumba mbona wako wengi tu duniani
hata Naomi hajazaa lakini hajasingizia ana mimba
yanakupata yote kwa visa vyako mtoto
ReplyDeleteungumba mbona wako wengi tu duniani
hata Naomi, Opera hawajazaa lakini hajasingizia ana mimba
Pilau hilo linaiingia viungo vya aina mbalimbali wallahradhim
ReplyDeleteMimi nna subra kama yule ndege wa kuitwa tai mpenda makombo mpitieni weeh mkimchoka mimi nashuka taratibu kama tai na pesa zangu za kubebea mabox tokea ughaibuni naja kujifilia kama ni la kichina au original mimi sina noma tako ni tako tu ladha ni ile ile
ReplyDeleteWema ur amazing.... ...
ReplyDelete