WEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram..Saa Zingine Nashindwa Kuvulimia"

Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na kusema pia hiyo ndo ilikuwa sababu moja wapo ya yeye kutangaza  sana kuwa anamimba kipindi kile kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....

Jamani Punguzeni Kidogo

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usiwashiriki viumbe mwanangu!! Rudi kwa Mola wako..Binaadamu watakupeleka pabaya..shika namba ya mungu Na ulibyo amza Na jamii Ni mfano nzuri endelea nawo..na kama utapenda kuishi Na sisi karibu mwanangu..na nasiha yangu kwaki keep low. Profile hapo msanii..yamuhimu fanya lakini yasiwe ya kukuharibia jina.yakupuuza yakupiuza unapuuza

    ReplyDelete
  2. Ntakupa ushauri acha kujishau sana na ukiwa na boyfriend siyo lazima ufanye vitu mbele za watu kama vile french kisses.

    ReplyDelete
  3. sio wote wanakupenda kama mimi

    ReplyDelete
  4. Halafu Wema ukiongea acha kuongea kumuigiza Kim Kardashian, kwa nini unaongea kama Kim Kardashian? wewe unayo dialekt yako ya kibongo kila mtu anajua unaboa sana unapoongea kumuiga Kim Kardashian, jirekebishe aisee ukiongea dialekt yako ya kibongo ndiyo unaongea vizuri sana tu kuliko kuiga wengine sababu huwezi kufanana na Kim hata siku moja yule yuko level ya juu sana kukupita wewe mara mia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha anonymous 3:32 umesema yote. Feki ni feki tu. Anavyojua kujifananisha na wasiofananishwa. Kenda kuweka tako kichina ili awe kama Kim. Kaambulia mapande manne. Mmh Indriss hana kinyaa. Mimba feki aliivaa vibaya ikawa ina msuta lakini kwa ujinga wake alijua watu wameingia kingi. Range Rover iko wapi vile??? Hahahaha. Kiosk cha lipstick chali. Halafu limama lake lina back up upumbavu wa matako manne ya mwanae wakati linajua ni feki. Bora niwe yatima kuliko kuwa na limama kubwa jinga kaa la Wema.

      Delete
  5. yanakupata yote kwa visa vyako mtoto
    ungumba mbona wako wengi tu duniani
    hata Naomi hajazaa lakini hajasingizia ana mimba

    ReplyDelete
  6. yanakupata yote kwa visa vyako mtoto
    ungumba mbona wako wengi tu duniani
    hata Naomi, Opera hawajazaa lakini hajasingizia ana mimba

    ReplyDelete
  7. Pilau hilo linaiingia viungo vya aina mbalimbali wallahradhim

    ReplyDelete
  8. Mimi nna subra kama yule ndege wa kuitwa tai mpenda makombo mpitieni weeh mkimchoka mimi nashuka taratibu kama tai na pesa zangu za kubebea mabox tokea ughaibuni naja kujifilia kama ni la kichina au original mimi sina noma tako ni tako tu ladha ni ile ile

    ReplyDelete
  9. Wema ur amazing.... ...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad