Wolper ni Mke Wangu, Bado Ubani tu – Harmonize

Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.

Uhusiano wa wawili hao hauna hata mwezi tangu uweke bayana.

Akiongea na kipindi cha The Premier cha Kings FM, Harmonize alisema hajali watu wanavyosema kuwa Wolper ana umri mkubwa kumzidi.

Msikilize zaidi hapo chini akiongelea mahaba yake na Wolper.


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi hawa wakoje???? Dah aiseee......je ni nani yuko interested na hayo maupuuzi yao?????

    ReplyDelete
  2. so wolper atabadilisha dini tena atakuwa muislam. unafiki huu.

    ReplyDelete
  3. tulisha waona wengi kama wewe Harmonize. yetu macho!

    ReplyDelete
  4. wewe muisalm gani harmo unamkashif muislam mwenzio wema kakakosa nini dada waw watu maskin

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad