Leo i want to touch this very sensitive subject ya wanaodai kuwa inapokuja kwenye diaspora huenda nina wivu na chuki na wanaoishi majuu kwa sababu nilirudi, ha! ha! ha! kwa wale ambao hamjafika majuu naomba kusema hivi:- mungu alinijalia sana confidence in myself na everything i do, nilipofika majuu kwa mara ya kwanza nilikuta wabongo karibu wote pale New York wanafanya kazi za kulinda na kutunza wazee na mataharia, siku moja mbongo mmoja alinipeleka kwenye kazi ya kutunza mataahira nilikaa kama lisaa limoja tu sikurudi tena, nikaenda shule kutafuta leseni ya cdl ya kuendesha malori makubwa sana ambayo hapa bongo hayapo, kazi ambayo inalipa haswa nikahangaika mpaka nikapata ile leseni nikiwa ninafanya kazi gas station mchana na usiku Kentucky Fried Chicken. Nilipopata leseni nikaanza kuendesha malori America nzima. Wale wabongo niliowakatalia zile kazi zao wakaanza kunizushia maneno kwamba ninauza unga, ha! ha! ha! ha!,
Kabla ya kwenda New York nilishakuwa baharia Belgium so Ulaya haikuwa kitu kigeni kwangu, ndio maana siku moja nikaamua kurudi Bongo mwenyewe bila kulazimishwa na mtu. Cha kwanza nilipofika tu bongo nikaanza kunenepa, why? Kwa sababu ni kwa mara ya kwanza katika miaka 30 ya maisha yangu nimeweza ku-relax na maisha. Majuu ni kufanya kazi tu na kulipia madeni, wazungu sio wajinga wameitengeneza system yao to the point wewe unaenda kuchangia uchumi wao tu hauwezi kuwa tajiri maana uwezekano haupo, wewe ni kazi tu, social life hamna ni kazi tu kila ukikaa unawaza kazi, mabebez hamna, wachache wabongo waliopo ni hasara tupu wengi wao hawajitambui. Kwenye uzungu hawapo kwenye ubongo hawapo wapowapo tu ole wako uwaguse, i mean kila kitu majuu ni perfect lakini gharama yake haikupi nafasi wewe kuwa na pesa extra, ndio unagundua kwamba majuu sio kama ulivyotegemea maisha ni mazuri lakini magumu sana kurudi bongo nako huwezi maana ni noma zaidi so you are stuck, i was stuck too mpaka nilipoamua kwa hiari yangu kurudi home.
Hapa sina deni kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, sidaiwi na mtu kila nilichonacho, kama ni gari ni langu, apartment ni yangu, shamba na nyumba ni vyangu sidaiwi na mtu, nafanya kazi ya kujiajiri, nakuja kazini saa ninayotaka, ninatoka saa ninayotaka, kwa mara ya kwanza ninamiliki simu za usd $ 1000 a piece majuu ningekuwa nayo ya kukopa na sikuwahi kuwanazo, bongo maisha baada ya kazi hayana mfano, marafiki kila kona kule unakuwa huna marafiki, bongo heshima kila kona majuu mweusi atakuheshimu nani? i mean kwenye kujiajiri nikipiga deal moja ikaitika millions zinakuwa zangu sio kulipia madeni, ninasafiri bongo na nje ya bongo anytime i want majuu nisingeweza maana ni kazi tu all the times.
Sasa naomba kuuliza jamani kweli niwaonee wivu na chuki waliobaki majuu kwa kisa gani? nasema hivi majuu wanatuzidi bongo kwa one thing matibabu wao wakiumwa kule ni rahisi sana kupona kuliko hizi hospitali zetu bongo, ni hilo tu mengine hapana bongo kuna maisha asikudanganye mtu, again mungu alinijalia moyo wa kujali yangu zaidi na sio ya wengine so kwa wale mnaolia lia kwamba nawaonea wivu eti mko majuu ha! ha! ha! ha! please!!, ninafanya biashara na wabongo wengi huko nje inapokuja kwenye kulipa ni kivumbi na patashika lakini hapa bongo ni tofauti watu wanalipa mara moja tena mpaka kwa dola za kimarekani, jamani kwa wale ambao hamjafika huko majuu na unaweza kula milo mitatu bongo bila tatizo tulieni hapa hapa jamani huko majuu kusikieni tu!!, ninamshukuru mungu kila siku kwa kunipa akili ya kwenda majuu na pia ya kurudi home ontime kabla sijachelewa, ndugu zangu huko rudini huku bongo maisha ni sawa ila tu ujipange kabla ya kuja na muhimu kuliko yote soma shule kwanza, huku bongo bila elimu utachekesha maana hela ukijanazo zitaisha kama huna elimu. jamani samahani kwa maelezo marefu lakini i hope nimemsaidia somebody out there!! - Le mutuz.
Umeongea ukweli najua tooooooooo muchhhhh stressss hamna raha yyte big up umerudi na hao wanaosema unawaonea wivu wanatamani ndio wangekuwa wao wamerudi
ReplyDeleteLamutuz umeonyesha kuwa shule yako ya kuunga kuunga haikukusaidia lolote, sbb ya watu kwenda ulaya ni kutokuwa na opportunity hapa nyumbani sio utajiri, utajiri ni majaliwa kutoka kwa Allah, kwani ni wangapi wanaweza kusema wanavyo vitu unavyodai kuwa navyo? Eti wazungu wameweka system ya wewe kufanyakazi tu kwani alioweka system hapa bongo nani sio mzungu? Watu wakubwa ka marehemu capt John komba wamekufa na madeni na kunyang'anywa majumba, wewe leo nssf wanauza nyumba kwa mikopo,wabunge na rais walilia bank zitoe mikopo kwa wananchi, hakuna mtu yyte hanaekuonea wivu kwani ulivyovitaja watu wengi walio ulaya wanavyo hapa bongo na ukitaka ushahidi sema wapi lini upelikwe ukaonyeshwe jaribu kupindisha mambo rakini unajiongopea mwenyewe kumbuka 1 usd= 2000 stupid ulifikiri ukienda ulaya kuna mti unatingisha pesa zinadondoka unarudi nyumbani nafasi uliyonayo sasa umeipata sbb uliishi ulaya bila hivyo ungekuwa unakata mkaa kubwa jinga wee sasa kama wewe ulienda kuendesha maroli nini kinachokufanya uone watanzania wengine waliopo nje awawezi kuendesha maroli?
ReplyDeleteLamutuzi hatakuwa na matatizo na wabongo wa new york nadhani walimu-abuse amekuwa kama lowwasa na ccm maisha yake yote kapatia huku leo anawaambia watu mengine hivi kuna mtu anaweza kuufuta ushauri wa mtu kama lamutuz wewe ni lowwasa,wa new york
ReplyDeleteNGOMA ZA KITOTO HAZIKESHI WEWE ULIYAZOEA MAISHA YA KUISHI OYSTERBAY WAKATI BABA YAKO ANA UJIKO KWENYE SERIKALI YA NYERERE WAKATI ULE(MTOTO WA MAYAI-SLAKE GUY)UKASIKIA MAMBO YENYEWE MTONI UKAFUATA MKUMBO TU UMEKUJA MTONI YAMEKUSHINDWA UMEGEUZA MWENYEWE UMEZOEA MAISHA YA UBETWE KELELE NYINGI OFISI SIJUI NYUMBA SIJUI GARI MSHAMBA WEWE UKUBWA WOTE BADO UNAWATEGEMEA WAZAZI WAKO BILA YAO WATU WATAKUBIKIRI KUDADEKI SOMWTIMES YOU GOTTA SHUT UP THAT MOTHER FUCKIN'STINKIN'MOUTH OF YOURS MTOTO WA MAMA
ReplyDeleteNi kweli kabisa,hata mimi mwenyewe nipo huko majuu, lakini wanasema nenda mashariki mangaribi home is best, hayo uliyoyaongea ni ukweli mtupu, huku home watu kutwa kuimba ulaya ulaya,kawaida sana tu, maisha ni popote, hapa Kwetu tukikomaa na watu mafisadi wasitiangushe kupo poa sanaaa tu, kwani hata hizo huduma za mahospital zitaboreshwa na elimu pia
ReplyDeleteBaharia ukipanda meli gani(jina la meli kampuni gani flage gani)na ulikaa melini muda gani maana mabaharia wa nchi kavu mpo wengi sana kuupakazia ubaharia kumbe mnauzaga sembe kichinichini halafu i-scan hiyo seaman's record book yako watu waione kama kweli wewe uliishawahi kupanda meli au ndio wale wale ubaharia ni kazi inayoheshimika all over the world mtu anaelea baharini mpaka ana-retire msitupakizie sisi mabaharia wa ukweli sio mtu meli inapigwa wimbi unaanza kutapika melini ovyo ovyo kudadeki hii ni kazi ya wanaume waliokomaa sio kazi ya ngoma za kitoto
ReplyDeleteLe babuzz ndio maana baba yako alikugawa bure,siyo wanaoishi mbele wote wanafanya kazi hizo na ata kama wanafanya hela halali ya kwao na ni system anaileta magufuli bongo,watu wenye elimu ya kuunga kama Le babuzz mtatia akili,cha muhimu Le babuzz nenda kaangalie watoto wako uliowatekeleza new York city wanaitaji mapenzi yako,na unajua unadaiwa malezi ya watoto uliowatekeleza ndio maana uko bitter na maisha yako,unakaribia miaka 60 lakini kubwa kupiga picha usiku wa manane na wajukuu zako eti unadai bata batani really babu???ulikuwa wapi ujana wako?na wewe unaita ofisi hiyo uliokuwa nayo?wewe ni jipu la kwapa ngoja magu akutumbue kwa Spana.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteWinnie sasa si urudi bongo unafanya nini nchi za watu?rudi nyumbani huku maisha ni mteremko kazi za kumwaga,maji kila kona,umeme siku hizi haukatiki yaani ni kama majuu tuu,magufuli anatengeneza barabara kwa wingi,magari ya kwenda kasi yapo mjini siku hizi ni dk kumi tu,ila baba lemutuz maisha ni kuchagua mbona wewe umechagua kudate wajukuu zako na hang around na wajukuu zako kama kijana vile kumbe ni babu kabisa,na uzee wote unashinda club saa tisa usiku,kwa hiyo ni uchaguzi wa mtu.
DeleteMmmh kaka angu umeongea kweli nchi hizi mateso si mchezo sura mpaka zinatushuka watoto wadogo kwa kazi na stress madeni kila kona washenzi hawa hawakuachii lazima wakudai pesa yote inaishia kwenye bills mpaka nacheka baada ya kusukitika. Mungu azidi kukubariki kwa maamuzi yako ya busara.
ReplyDeleteWinnie nafikili life yako sio Sawa na wengine nafanya kazi za kawaida naingiza $1000 a week lent 1000 two bedroom living room dining room na mahitaji ya kawaida ni 1200 kwa mwezi na save 1800 kila mwezi Sasa 1800 ×2100 za bongo million 3 wewe rudi Dada hizo ni kazi moja sijapiga ya pili na ya wife
DeleteKama ingelikuwa huku mtoni hakuna faida na sisi basi wa tz wote tungelikuwa tumesharudi long time lakini tunamshkuru M/mungu kwa kile tunachokipata hivyo hivyo mdogo mdogo tunajenga, tunasaidia wazazi, tunasomesha wadogo zetu, tunakula vizuri tena tupewe nini badala ya kusubiri mauti tu turudi kwa Allah huyo Lemutuz amedata ila mwenyewe hajijui.
ReplyDeleteRudini bongo basiii mnaongea sana,ivi sistim ya ulaya unaweza kufananisha na bongo?manake hata ukisema ukweli unakamatwa na polisi,demokrasia hakuna,hospitali majanga,mi nitakuja kusalimia ndugu zangu,si zaidi
ReplyDeletemsilete kumjumlisha kila mtu kwenye matatizo yenu. Watu tumefanya kazi bongo na tulikuwa tunamenyeka tu. kama ni kukaa barabarani masaa kibao ndo ufike nyumbani umechoka hata sura linakushuka tu. Ulaya inategemea uko wapi na unafanya nini. watu tumekaa ulaya tumenunua na majumba kwa cash. sasa wewe uliyekaa ulaya yakakushinda usitujumlishe wote kwamba hali zetu mbaya sijui nini. kila mtu na hali yake. Kuna wasomi huku ulaya madaktari, wanasheria na kadhalika watu wana maisha yao mazuri tu na ya kuridhisha. kama ni kazi hakuna duniani utakapokaa usifanye kazi labda hizo mbinu zenu za kuingiza hela kiujanja ujanja. usijumlishe kila mtu kwamba ana maisha ya shida majuu,sio kweli.
ReplyDeleteHuwaonei wivu unawaonea aibu. Wee mtoto wa xwaziri mkuu ilikuwaje udandie meli na uendeshe malori ulaya? Inaelekea ulikuwa pasua kichwa kwa wazazi na bado pasua kichwa.. huna familia mkubwa mzima ovyo. Unalazimisha u tajiri kwa kurub shoulders na matajiri wa bongo. Huna madeni kivipi? Umepata wapi pesa ghafla kuwa na vyote unavyoorodhesha.. punda tu. Waache watu walee wazee na taahira wapate clean money. Wanaishi a more quality life than you. Kuzunguka ktk mabaa ya starehe na kulazimisha picha na akina mafikizolo ndio mafanikio?. Piga picha na watoto wako tuzione. Kwa hilo naona tutasubiri sana... on yr own words. Get a life lemutuz na unyamaze please.
ReplyDeleteLe mutu nakujua A to Z husidanganye watu maroli ya kuzoa taka taka za hospital pale Bronx hayazidi hata Tani 20 Leo hunasema hulikua hunaendesha maroli marekan nzima bro hacha fix hulijaribu maroli ya long distance hukafel najua Sana nimeona hukiongea huongo bora hukweli hujulikane nyumba ya mount Vernon lent hayazidi $750 second Street Nani Hana taka kuishi pale ndio maana humechukia hayo maisha madeni ni Wewe na mnaopenda ma credit card sio kila mtu hulipo fail bankruptcy hukashinda kesi hingekua bongo si hungekoma na sindio pesa hiliokua hunakopa kutumia hili pesa ya check hilipe lent na kungekua hamna system ya kusamee madeni bankruptcy sijui hungekoma
ReplyDeleteMaisha ni popote!
ReplyDelete