Young Dee Aporomoshewa Matusi Baada ya Kupost Picha Akivuta Bang

Usiku wa kuamkia May 6 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa anavuta kitu ambacho mashabiki wake kwenye mtandao wa instagram walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomosshea comments kuwa anaelekea kuwa kama Chidi Benz,

Je Young hapa alikuwa anavuta bangi ? na kama ni bangi ni sawa kwa msanii kufanya hivi bongo kama tunavyoona nje kwa kina Wiz Khalifa.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIO KILA KITU KUIGA JAMANI!!KHA!!

    ReplyDelete
  2. HALAFU MKIHARIBIKA NDIO MNAANZA WATANZANIA NISAIDIENI!!!

    ReplyDelete
  3. inaweza kuwa ni bangi imechanganya na sembe!!!!!unajimaliza Dogo

    ReplyDelete
  4. Good morning,

    Wewe dogo acha ujinga wakuinga mambo ambayo hayana maana kwa afiya yako na jamii pia. kwanza wewe bado mdogo sana kwa kufanya mambo kama hayo jalafu unaweka kwenye mtandao watu wajue. Usahuli wangu nakuomba kwanza kama kweli unavuta bangi acha mara moja nenda shule kapate elimu achana na mambo ya ujinga.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad