Zitto Kabwe Avunja Jungu: Nusu ya Walimu Wanalipwa Mishahara ya Bure, Hawafundishi

Baada ya Hussein Bashe kusema ni watu waliofeli, Zitto Kabwe nae amesema nusu ya walimu hawafanyi kazi na ndio 'watumishi hewa haswa'

Ameongezea pia utafiti uliofanyika na Benki ya Dunia na REPOA ukitembelea ghafla kwenye shule za umma utakuta walimu hawapo shuleni

Mtazame Hapa:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi hizi information huyu Zitto Kabwe anazipata wapi????? Na je hizo sources za hizo information ni reliable????? Tunataka Bunge wawe wanaziweka hizo Report kwenye websites mbalimbali ili sisi Wananchi wa kawaida tuwe tunazisoma na kufanya uwiano wa yale yanayozungumzwa na Wabunge dhidi ya Serikali. Je ni kweli Serikali na Wizara zake huwa hawafanyi research za kutosha kabla hawajawasilisha hizo budget na miswaada yao mbalimbali?????? Mimi kama mwananchi wa kawaida ni na wasiwasi kuwa wana siasa wanaweza kuzitumia hizo report na research mbalimbali kupotosha jamii na wananchi kwa ujumla. Kwani ni rahisi kwao kuzisoma na kutoa tafsiri ambazo zitakidhi malengo yao ambayo ni kuikosoa serikali badala ya kutafsiri ukweli wa mambo uliomo ndani ya hizo report na research. Ni muhimu kwetu sisi Wananchi wa kawaida kuzipata na kuzisoma hizo research ili tupate tafsiri sahihi iliyomo ndani ya hizo report. Na pia ni muhimu kuelewa hizo sources za hizo report ili tujue kama ni majamaa reliable ama wako pale kuunda uongo wa kuipotosha jamii na kuifanya jamii iichukie Serikali yao. Hili ni jambo muhimu sana la kuliangalia na kulizingatia. Hawa wanasiasa wana mbinu nyingi chafu za kuifanya Serikali ionekane haifanyi kazi yake. Na hii yote ni kwa manufaa yao binafsi na sio kwa manufaa ya Wananchi na Nchi kwa ujumla. Huyu mtu aitwaye Zitto Kabwe na wenzake wenye mlengo wa aina yake tungependa wawe na uwazi zaidi wa ni wapi wanapozipata hizo report na pia watueleze kwa kinagaubaga tafsiri sahihi ya hizo report. Bila ya hivyo tutaendelea kushuhudia kundi la wahuni wachache ambao kila kukicha kazi yao ni kuikosoa Serikali.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad