Askofu Gwajima Atimka Nchini. Adaiwa Kuelekea Dubai

Maoni yangu

Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.

Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibun

By kalulukalunde

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ACHA WOGA WE MWANDISHI KANJANJA! ANGALIA ZAIDI KINACHOSEMWA KAMA KINA UKWELI.

    ReplyDelete
  2. We anonymous 11:14 am. Hujui lolote we watu kama gwajimani wakukemea mbali kwani hawana nia nzuri na inchi kama Tz yenye amani. mfano tizama Burundi walio chochea vurugu wako wapi? na wakina nani walio poteza maisha yao? kama hamujaona hathari ya vurugu basi ulizeni inchi zilio fanya watawaambia. hao viongozi huchochea vurugu ila familia zao nawao wenyewe hutawaonahalafu mambo ya kiiva laa utasikia eti kapanda ndege na familia yote alafu munabaki munapigwa munauliwa na kufungwa halafi yakiisha wanarudi. So lindeni amani yenu musiharibu kisha badaae muje kujuta kama jinsi burundi,rwanda, DRC, Libya na penginepo wanavyo jutia.

    ReplyDelete
  3. Tanzania inatisha kila kukicha uchochezi
    Nafikiri ipo siku tutskuwa kama ruanda
    Tunajitabiria vita wenyewe
    Neno uchochezi make me sick Tanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huu sio utabiri.. Its a fact inaction will make you regret at a latter stage.. Take action now!!!!! Wahenga walinena Dalili za Mvua ni nini??
      Wewe kama ni Mzalendo na unaipenda nchi yetu... Hivi sasa ndiw
      yo wakati wa kuchukua action na bila kuchelewa au kuchelewesha mpaka gari imesha anza mwendo wa kasi... ni hapa hapa bado inpigwa start!!! Tuipende nchi yetu na tusiwape nafasi hawa Vibaraka wenye nia Mbaya na Malengo maovu... Mungu ilide Tanzania na Watu Wake.... Ni mimi na wewe wa kukomesha hii dhana potofu.

      Delete
  4. vibonde maji achenikukuza mambo amechoche nini??? uongo na wivu wenu ndio vinawasumbua!

    ReplyDelete
  5. wachochezi wasicheleweshwe na wanasapoti uchochezi tanzania ni nchi ya amani so tunataka amani hao wanafik watiwe ndani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad