Diamond, Harmonize
Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii, Mmoja kati ya viongozi wa juu wa kambi hiyo, Babu Tale, amesema ni bahati kwa wasanii wake kupata wanawake waliowazidi umri.
“Sisi tunameneji wasanii hatumeneji hisia zao, lakini ikitokea msanii fulani amempenda mwanamke fulani tunamuacha kwa sababu ni mapenzi yake,” alisema Tale. “Tunaona ni bahati kwa wasanii wetu kupata wanawake waliowazidi umri, hiyo ni bahati (anacheka) kwa sababu wanamuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) alimuoa Bi Khadija ambaye alimzidi umri,”
Hata hivyo, Tale alisema ndani ya WCB hawameneji mapenzi bali wanammeneji msanii pamoja na kazi zake.
wacha ujinga Tale, kwani hao wasanii wako wameoa mpaka wamuenzi mtume?
ReplyDeleteMTUME MUHAMMADI HAKUZINI WALA KUZAA NJE YA NDOA. ALIMUOA BI HADIJA. USIIPOTOSHE JAMII NA WAISLAM KWA SABABU YA KUWASAFISHA WAJINGA WENZIO TALE.
ReplyDeletebabu tale mbona wewe hukuoa mzee! usijinyanye unajua kuwangia kifua wakati ni wachafu wa zinaa! rudi shule kasomee Qur an.
ReplyDeletekwa nchi nyingine ungenyongwa kwa kosa la kumfananisha mtume na makahaba yaliyoshindikana!
ReplyDeleteksjifundishe dini kwanza halafu uje uwafananishe hao mabwege kwanza Mtume hajaoa mke kafiri walevi wewe tale unajua umekosea sana na Mwenyezi Mungu atakuadhib sana haya tuone wcb muendele sasa wote hao wanayo fanya ni laana
ReplyDelete