Baby Madaha: Sina Hobi na Serengeti Boys Kama Shilole na Wolper

MSANII na mcheza filamu za Kibongo, Baby Madaha amesema hapendi kushiriki mapenzi na wanaume wa umri mdogo ‘Serengeti Boys’ kwani watu hao hawawezi kumshauri mambo ya maendeleo.

Baby alitoa kauli hiyo baada ya kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha kimapenzi na Serengeti Boys.

“Serengeti boys siyo hobi yangu kwa kweli maana watanizingua tu, nawapenda watu wazima maana wananipa akili za kimaendeleo, hao watoto hawawezi kunisaidi chochote cha maana nawashangaa hata hao wanaokuwa nao,” alisema Baby Madaha.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NEVER SAY NEVER IPO SIKU KAULI YAKO UITAMKAYO SASA MBELENI IKAJA KUKUSUTA WEWE MWENYEWE 'CAUSE WHAT GOES AROUND COMES AROUND SO WATCH OUT WHAT COMES OUT OF YOUR TONGUE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad