Ukifanya muamala wowote wa kutoa pesa benki kuna makato mfano kwa CRDB ni 2,200. Maana ya hii kodi ni kuwa sasa utakatwa TZS 2,596. Vile vile ukifanya malipo kwa njia ya TISS makato yalikuwa ni TZS 10,000; kwa sasa utakatwa TZS 11,800.
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
Unaweza ukashangaa ukakatwa zaidi ya hiyo!!! mbona patakuwa hapatoshi nguo kuchanika!!! haya bwana ngoja tujenge nchi.
ReplyDeleteTWAFAAA
ReplyDeletewakamue baba magu,wawe chadema,ccm au cuf wewe kamua baba,si wanajipendekeza mpaka wajue wewe ni nani,uzuri wa kodi haichagui wewe ni chama gani,KAMUA BABA.
ReplyDeleteKUJIPENDEKEZA?KI VIPI.TUNAJUA MAGU HAYUKO KWA WATU WA CCM TU.KWANI WEWE UNAPOPITA BARABARANI UNAONA TOFAUTI YA VYAMA?
DeleteNI SIASA NDIO LAKINI JARIBU KUTUMIA HEKIMA KWENYE KAULI ZAKO.
tulupunguziwa kodi ktk mishahara halafu kodi za kibenki zinapanda,naona tupo palepale
ReplyDeleteHahahaahahaahahhahhhaha hhaaahhah hahahahah hahahahah hahhahah hahahha hahahah hahahah hahhahaha hahhahhah hahhaha....mwenye uelewa ndani ya hiki kicheko changu keshapata ujumbe...
ReplyDeleteIkiandikwa kwam 18% huwezi kuelewa lakini katika Utekelezaji itaeleweka vizuri sana. Kwahiyo tusubiri utekelezaji sababu kwa sasa wanasiasa wanaitumia mwanya wa uelewa mdogo wa wananchi kuitafsiri vibaya. Nadhani tusubiri kidogo, itaeleweka.
ReplyDelete