Bifu la Lulu Michael na Hamisa Mobeto Mtandaoni Lasababisha Mange Kimambi Kumlipua Majizo Kuwa ni Muuza Madawa ya Kulevya

Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.

Ambapo usiku wa jana mwana mama mwenye vituko vya aina yake aishiye Marekani aitwaye Mange Kimambi amemlipua mwanaume anayedaiwa kuwagombanisha Lulu na staa aitwaye Majizo kuwa ni muuza mada ya kulevya maarufu hapa mjini na ana pesa chafu sana inayowazuzua warembo hao mpaka kufikia hatua ya kuchafuana mitandaoni.

Either mwana mama huyo ameahidi kuanika siri za mwanaume huyo ambaye anasadikika kuwa na utajiri wa kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo.

Mange Ameandika haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:

mangekimambi_
"Kumbe huyo Majizo mwenyewe ndo wale adui zangu 😡😡😡.Majizo mwenyewe anaepiganiwa na Lulu na Hamisa ni muuza Unga wa Long time. 🙆🏽🙆🏽🙆🏽🙆🏽🙆🏽... Unaambiwa kijana ana pesa chafuuuuuuuuuuuuu Hiyo Efm Kafungua tu ili asafishe hiyo pesa ya Unga, yani unaambiwa ana helaaaaaaaa acha!!! Huyu jamaa alikuwaga ni DJ tu wa Magic FM na Channel Ten taratibu akaanza kujiingiza kwenye biashara ya unga ndo mpaka katajirika na yeye kafungua Redio yake!! . Unaambiwa huo mjumba wake huko Kigamboni ni kufuruuuuuuuuuuu Mengi mwenyewe hana nyumba kama ya huyu kijana, unaambiwa ni balaa. Ila Ndo hivyo mateso ya Kina Ray C Kina Chidi Benzi na vijana wa Kitanzania ndo yanayojenga hayo majumba.Tena nimekuwa warned unaambiwa jamaa mtandao wake ni high level hawezi guswa na mtu hapo Tanzania.... Mtandao wake ni wa vigogo Yani.... 🙆🏽🙆🏽🙆🏽🙆🏽 . Jinsi Maisha yalivyo magumu kuna kijana anaweza Kuwa inspired na story ya Majizo, don't be mwisho wa hawa watu huwa sio mzuri. Siku zooote mwisho wao huwa ni mmbaya. Kulikuwa na muuza Unga tajiri Tanzania kama Shkuba? Jiulize yuko wapi sasa Hivi? Ananyea ndoo mabilioni watu wanayala huko nje, tena bora kipindi cha JK alikuwa anaishi jela kama kwake na mkewe alikuwa anapelekewa every weekend Sasa Hivi ni mfungwa kama wafungwa wengine....😭😭... . . Hivi Magu ile vita ya wauza Unga imeishia wapi???? Mbona ilianza na moto sasa hivi kimyaaaaa?? Watuondelee hawa watu jamani, wanatuulia vijana wetu!! And I'm sure hao Lulu na Hamisa wote wanajua kazi ya bwana yao Ila ndo hivyo wanataka Maisha ya juu so hawajali kuwa wenzao wanakufa, familia zinasambaratika ili tu wao wapendeze na waishi Maisha ya juu😏😏😏😏... Yani nawachukia wauza Unga especially waliotajirika maana it shows wameuwa watu wangapi. Although siamini kuna kitu kama hiko Ila Haki ya Nani for the first time nimewish ingekuwa kweli Lulu awe na jini la kuuwa wanaume ili huyu jamaaa tumpotezee. Wanatumalizia nguvu ya taifa hawa watu. . . Huyu jamaa keshaingia kwenye black list yangu ya wauza Unga.Ntakuwa nawapa habari zake." Mange

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeeeeeeh balaaa hili hadi huyu duuuuh...nilitaka nishangae lulu mpenda pesa ajiweke tuu kwa mtu wa kawaida eti ceo wa radio hahahahah kumbe nyuma ya pazia ndo kuna haya mambo....aiseee hii hatari..

    ReplyDelete
  2. Mange muuza mbunye anatafuta kiki tuu kwangu,nami simjali kwani najua ninachokifanya na wala si kuendekeza ujinga huo!

    ReplyDelete
  3. Hamisa Mobeto(Iphone) na Lulu Michael(Techno)...............nimeipendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!

    ReplyDelete
  4. Majizo I wish angefuata nyayo za watu waliomtangulia katika hiyo biashara ya radio na maana the big boss jose kusaga,najua swala la wanawake ni uamuzi wa mtu lakini ukishafikia unaown radio ambayo imekuja juu mjini dar kama siyo Tanzania yote hiyo ni heshima kubwa,sasa unaanza kuangaika na wakina lulu kutwa kuchambana kwenye IG inasikitisha sana na inamvunjia heshima yake majizo,huyu lulu kuna siku ametoa picha kwenye IG anasema amevaa nguo ambayo ni thamani ya kiwanja dar,sasa mtoto kama huyo si wa kudeal nae bado hajawa matured na haendani na status ya majizo,bro majizo I like your vision ya radio yako imeanza vizuri sana,haijawahi tokea radio ambayo imeweza angalau kuitingisha radio ya watu hapo mjini kama radio yako,bro majizo please focus on your business you have bright future,haya mambo ya kudeal na hivi vitoto vya kwenye instragram its not worth ,your better than that brother,look at your role mode jose kusaga jamaa tangu alivyoanza na mkewe kipindi hicho hujawasikia mambo ya ajabu magazetini maana kipindi hicho mitandao ilikuwa haipo,keep low brother na hao watoto wa kike hawana mpango,tena hao watoto wa mjini they are just looking for your wallet na watashusha heshima yako as ceo,mzee mengi ana binti dizaini hizo lakini atleast huyo binti huwezi kusikia skendo za ajabu maana binti ametulia na yuko matured and for your status you need somebody who atleast hold some degree not those kind of chick bro,somebody who atleast can run your business when your not there,kuhusu huyo mange anongea vitu ambavyo havina ushaidi na hiyo ni kawaida yake bro ku hallusinate,stay focus bro.

    ReplyDelete
  5. Me nashangaa ,wee Mr Majizo hao akina Lulu wana kitu gani kipya amabacho ukijui au ujawahi kukiona? Kama unawahitaji akina dada wa design ya Lulu nenda Ethiopia, Rwanda na hata Mombasa wapo wengi hao. Hawa mabinti wa hapa hawana siri na hawana kazi za maana inawatawala tamaa. Bro, unaonaje hawa mabinti wanaopokezana mabwana wakuaribie future trend yako na familia yako?. Kwa taarifa hawa ndiyo wanaanza kuvujisha siri zako za mafanikio uliyonayo. Je kwa sasa na utawala huu utafika mbali? je watu waliokuwa hawajui chanzo cha fedha zako watakuonaje sasa? ni kweli mafanikio yako ni kutoa kafara watoto wa watu kwa biashara tajwa ambayo ni mbaya na haifai? Bro usipojiepusha na wasichana wa Dsm uenda utaishia pabaya sana kama SHKUBA, wamemponza haohao. Kaa chonjo saa mbaya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad