Breaking News: Wabunge wa Upinzani Waziba Midomo yao Kwa Karatasi na Plasta na Kisha Kutoka Nje

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.

Hii ni wiki ya pili mfululizo wabunge hao wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kutohudhuria kikao cha bunge kinachoongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inachekesha na kusikitisha kuona wabunge waliovalia suti na tai wakionekana kama watoto wadogo kwa hivyo vikaratasi mdomoni. Inafaa mpewe vinyonyo mzibe midomo yenu badala ya hivyo vikaratasi

    ReplyDelete
  2. WAJINGA WAKUBWA HAWA

    ReplyDelete
  3. ZIBENI NA SEHEMU NYINGINE MIDOMO TU WHY

    ReplyDelete
  4. Vilaza haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  5. kama picha la kihindi vile

    ReplyDelete
  6. bunge la wasanii

    ReplyDelete
  7. MESSENGE SEND!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Zibeni na macho kabisa ili musione midomo tuu haitoshi

    ReplyDelete
  9. DAAAAAAAAAAH NOMA SANA KWAKWELI

    ReplyDelete
  10. Iteni CNN au BBC
    Watanyooka hao CCM

    ReplyDelete
  11. Ukiwa nje mara nyingine inaonekana kama wote tu mataila kama hao ukawa
    Vyama vingi ni mfumo mzuri sana je tungejuaje kama kuna mataila kama hawa???
    CCM kuna vetting wasingepitishwa na chama hawa kugombea ubunge,,, NDIO UHURU HUO JAMANI hata Vilaza wana fursa

    ReplyDelete
  12. Mhhhhhhhhh... Mbinu mpya imevumbuliwa!! Posho hakuna.. Mimi Ningependelea Tumjue huyo Brilliant Innovator of Paper Mask na Kujua idea iliungwa mkono na Nani Hapo Viambazani mpaka Millinga akaizungumza... Ndugu zangu mnaanzisha Ukaragosi kama nilivyo kwambieni hapo awali katika kila sarakasi ni lazima ulete Clown wafanye Figisu Figisu... na nyinyi kwa sasa ni vikalagosi mnnaendelea tulitumbuiza bunge na wananchi.. Sasa Si ndiyo ingekuwa laivu ingekuwa Balaa auMnataka laive free intatenimenti??

    ReplyDelete
  13. Yaani wabunge wa ukawa wanaboa kinoma, mi sielwi nani huwa anafanya eveluation ya mambo yao au ndo ukilaza wenyeeeeweee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad