Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah |
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amesema msimamo wa wabunge wa upinzani kutohudhuria vikao vinavyoongozwa na Dk. Tulia hauwezi kuathiri shughuli za Bunge na uongozi wa Bunge hauoni tatizo la Dk. Tulia kwani ni kiongozi mahiri anayesimamia kanuni wakati wa kuliongoza Bunge.
Neno moja kwa Katibu wa Bunge
SAFI SANA KIONGOZI UKO MAKINI NA MAAMUZI
ReplyDeleteWATOKE WASITOKE WATAJIJUA TUMEWACHOKA
ReplyDeleteNAONA WANATAFUTA NAMNA YA KUJIPUMZISHA WACHENI
ReplyDeleteTLIA UKO SAWA KABISA YUKO MAKINI SANA wapinzani bado watoto wanahitaji msaada
ReplyDeleteWasenge ccm. Fyuuuuu
ReplyDeleteHichi jinuka kwapa tangu loleza
Kanuni anaxijuwa huyu
Fuuuuu
Wewe ndio msenge na huna akili kichaa cha mbwa wewe. Nenda kwenye matope ya kenge ukajinyaule kule.
DeleteKesi ya ngedere Kwa nyani!!!!!
ReplyDeleteUtashangaaa sana. HAPA KAZI TU. na utaisoma namba mwaka huuuu. Peleka kesi yako pale Mahakamani.
DeleteTatizo hapo ni ile kasi ya Magufuli na sio Dk.Tulia. Wanamtumia Naibu Spika kama chambo tu lakini mlengwa haswa ni Rais Magufuli. Nyie Wabunge wa Upinzani tumeishaelewa hizo hila zenu na hamtafika popote pale. HAPA KAZI TU.
ReplyDeleteHaswa Mama ni Mahiri na Jasiri katika kazi yake sisi sote tunaliona hilo na inadhihiri hivyo.. Ni wachache wasio na Uelewa na kukosa mwelekeo wa Uzalendo na uwajibikaji wenye nia na lengo la kupotosha Maadili na chuki zenye keleta ugawanyikaji ambao wameshondwa kufanya na kuwajibika kilicho waleta Dodoma.. chuki zao ni za kibinafsi na ningeomba watumie neno Mimi na siyo la kujumlisha SISI.. Mama imani tunayo na wewe uwezo unao..Kazi yako tunaiona na tunaipenda na nidhamu inaanza kurudi..Walituchezea sana huko nyuma...baba JPJM kaza buti..na ukemee inapo bidi..Bunge ni letu..na wabunge ni wetu..tunataka maendeleo na sio siasa uchwara
ReplyDeleteTulia naye anaitwa kwa mtoto aliyemzaa USA kwa migiro
DeleteFyuu Ana nini huyu
Tunayajuwa mengi ya Tulia
Haswa Mama ni Mahiri na Jasiri katika kazi yake sisi sote tunaliona hilo na inadhihiri hivyo.. Ni wachache wasio na Uelewa na kukosa mwelekeo wa Uzalendo na uwajibikaji wenye nia na lengo la kupotosha Maadili na chuki zenye keleta ugawanyikaji ambao wameshondwa kufanya na kuwajibika kilicho waleta Dodoma.. chuki zao ni za kibinafsi na ningeomba watumie neno Mimi na siyo la kujumlisha SISI.. Mama imani tunayo na wewe uwezo unao..Kazi yako tunaiona na tunaipenda na nidhamu inaanza kurudi..Walituchezea sana huko nyuma...baba JPJM kaza buti..na ukemee inapo bidi..Bunge ni letu..na wabunge ni wetu..tunataka maendeleo na sio siasa uchwara
ReplyDeleteWeeeh!Ngoma imelala hiyo sio Yanga wala Simba aliyeuono mlango wa mwenzake na dakika ya 89 inayoyoma labda tuangalie katika dakika za nyongeza ndugu wasiklizaji matokeo yatakuwa vipi ni mimi mtangazaji wenu Ahmed Jongo tokea uwanja wa taifa Dar Es Salaam
ReplyDeleteUtashangaaa na u Ahmed Jongo wako. Hapa kazi Tu.
DeleteHii ngoma inabidi tubadilishe Kiwanja... pELEKA NYAMAGANA!!!! BARIDA HATUTAKI KUCHEZEWA INATOSHA MIAKA YA HEWA HA WABUNGE WAMEENDELEWA KUWA HEWAAAAAAAAAAAA? MAUDHUI YA MAENDELEO HAWANA SASA WAKO KUSUSIA.. UNAMSUSIA NANI???? SUSI POSHO!!!!!
Deleteposho mbona hawasusi kama wameamua kususa wasuse kila kitu wajinga tu hao hayooooo hayoooooooo,potea kabisa
ReplyDelete