CUF: Prof. Ibrahimu Lipumba Unaweza Kugombea Uenyekiti wa Chama.

Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof Ibrahimu Lipumba, anaweza akagombea tena uenyekiti wa chama hicho kwani ana uwezo mkubwa. Hayo yamesemwa na Kaimu Katibu Mkuu wa CUF-Bara alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Uchaguzi utafanyika 21 August 2016
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na Zitto je? Manake mbowe hamtaki!! Je mko tayari kumppkea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad