Diamond Amuandalia Mwanaye Tiffah Birthday ya Kukata na Shoka itakayofanyika Mlimani City

Mwanamuziki Diamond amethibitisha habari kuwa amemuandalia mwanaye Tiffeh Birthday kubwa ya kukata na shoka, itakayofanyika mlimani City. 

Tiffah mwenye umri wa miezi 10, kwa sasa ana followers zaidi ya 623,049 Instagram, na inadaiwa kuwa ndiye superstar mdogo zaidi kwa Africa.

“Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale mlimani City patakuwa kama Disney Land!!!! @princess_tiffah,” ameandika Diamond kwenye Instagram.

Naye mama yake alimpongeza kwa kuandika: Yesterday you were mummy’s tiny baby and today you are mummy’s big girl. Happy 10 my beautiful princess the apple of my eye, the air I breathe. Plse don’t grow so fast, mummy will miss you being her baby.”

Staa wa Kenya, Huddah ni miongoni mwa mastaa walio na hamu kubwa ya kuwepo kwenye birthday hiyo.

“Our baby @princess_tiffah Turning ONE soon…. The ROYAL DUTCHESS of TZEE . Hii Sio party ya kikosa Jamani . There will be a BIG SURPRISE that day! Asiye na wake aeleke jiwe….Mimi I’ll be there na mawe zangu khaa! Mama Tiffa @zarithebosslady give us LOCATION Basi …. We need to book tickets EARLY,” aliandika.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huddah Monroe si rafiki wa Zari ni muongo tu anadanganya atakuja kwenye party ya Tiffah ili wateja wake wa bongo wajue kuwa atakuja bongo ili wateja wajitokeze, kama ile party ya White party si huyo huyo Huddah Monroe alisema atakuja kwenye party ya Zari mbona alimsaliti Zari alitua bongo akatimua zake Zenji na mteja wake wala hakwenda kwenye party ya Zari

    ReplyDelete
  2. Tiffah kitoto kirembo jamani hao watu wanaomsema tiffah vibaya ni wivu tu unawasumbua mama Tiffah wape zao hao watu wanaomsema mrembo Tiffah vibaya wala usinyamaze kimya kwani Tiffah ni karembo kweli kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad