Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sababu yeye kuendelea kumchukia Diamond Platnumz, ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake.

“Kuna wakati inafika watu mnakuwa mmekuwa labda, mtu anaona hana sababu ya kuendelea kukuchukia au kuwa na vita na wewe, sababu mwanzo mwanzo mkiwa bado mnaenda mnaona kuna vitu mko navyo ndiyo maana kuna kuwa na chuki kubwa, lakini ikifika wakati kila mtu amesonga mbele na maisha yake, ameridhika na maisha yake anaona kwanini nimuwekee vita mtu fulani.
Hivyo nadhani labda wakati huo ndiyo huu maana mwenyewe nimeona kweli amepost BET, amepost promo ya Rich Mavoko kwangu mimi nafurahi kwa sababu naona haina faida kwa sisi wasanii kuwekeana vita” alisema Diamond Platnumz.

Mbali na hilo Diamond Platnumz alidai toka ameachana na Wema Sepetu hana namba yake ya simu, hajawahi hata siku moja kumpigia simu wala Wema Sepetu hajawahi kumpigia simu Diamond Platnumz.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie nyote wasenge Kumanyoko zenu mkwende na huko

    ReplyDelete
  2. Hahaaaa wakati wa penny mlianza hivyo hivyo kumbe mkawa mnamla mwenzenu kisogoo!!!mwisho wa siku kumbe mmerudiana kimya kimyaa...pole yake kizee zari hakujui weweee!!! Au ndo umeshamchimbia kondooo hasikii na wala haonii maskini dah...punguza uchawi Diamond utakufa vibayaaaa...

    ReplyDelete
  3. Matapishi nikinyaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad