Rapper huyo ambaye ameachia remix ya wimbo ‘My Life’ hivi karibuni akiwa amemshirikisha Radio & Weasel kutoka Uganda, ameiambia Bongo5 kuwa hatua aliyoifikia Diamond kimataifa ni kubwa hivyo anapaswa kupongezwa.
“Unajua watu walikuwa wanamatarajio makubwa sana na tuzo lakini mwisho wa siku tukubali matokeo ya kushinda na kushindwa,” alisema Dogo Janja.
Aliongeza,
“Diamond bado ni mshindi, alikuwa mtanzania pekee, kwa hiyo huu sio wakati wakumbeza, tumtie moyo ili aendelee kupambana zaidi,”
Diamond ni msanii pekee wa Tanzania ambaye alikuwa kwenye kinyang’anyiro cha tuzo hiyo ambayo ilichukuliwa na msanii kutoka Afrika Kusini.
huyu dogo akasugue meno yake kwanza.
ReplyDeleteu mjinga sana wewe anony 6.07
DeleteAkae ajiulize kwann anabezwa mbina wasanii wenumgine wakikosa tuzo hawabezwi lipo tatizo...akae atafakari arudi nyuma ataona tatizo liko wapi
ReplyDeletemjinga hayawani hafriti mwanahizaya Anony 8.35 PM. ops! na wewe unameno ya njano kama ya dogo janja.
ReplyDeleteyaani anony wa 9.22pm licha ya kuwa mjinga wewe mtoka pabaya na msenge/hanithi mkubwa tena ni mshenzi uliyepitiliza kuliko hata pimbi, kuwa na meno ya njano ni issue??? tena ukome kabisa filauni mkubwa.
DeleteHuyu dogo anahitaji kuungw na Diamond ao amusainishe kweny WCB. Ndo maana unaon dogo anazungumza sana kwenybishu za Diamond. Ila kazungumz point hapo. Fikra nzuri dogo honger ili usitumie hay manen manen ili ukubalik na Diamond.
ReplyDeleteMeno yake yamegandia kinyesi akasafishe kwanza
ReplyDeleteTatizo watanzania hatupendagi kusifia vya kwetu,mtu katuwakilisha kama nchi lakini bado tuu tunamponda,ila kawaida ya binadamu,chuki binafsi tu,ambao wanambeza awana la kufanya.
ReplyDelete