Freeman Mbowe Azungumza Haya Baada ya Yeye na Wenzake Kukamatwa na Polisi Mwanza

Baada ya kukamwatwa jana na kuhojiwa na polisi, jijini Mwanza, akiwa na baadhi ya viongozi wa Kanda ya Ziwa na wanachama wakati akizungumza katika ‘vijiwe’ vya chama hicho, Mwenyekiti wa (Chadema), Freeman Mbowe, amesema kukamatwa kwake kunaonyesha polisi wanavyoleta utawala wa kutisha wananchi ili wawe na hofu. “Polisi wasilete utawala wa kutisha wananchi. Viongozi ni wajibu wao kuzungumza na wananchi ili kufahamu matatizo yao pamoja na kuimarisha chama,” amesema Mbowe.
Toa maoni yako huku ukituambia unadhani nani ni tatizo?

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tatizo ni mbowe hana akili anawapotosha wenzake wanavyo mfuta sasa akisema laleni wotw wanalala sijui kawalisha nini wamejaa hewa kila upande

    ReplyDelete
  2. achozungumza hakieleweki kamwe

    ReplyDelete
  3. CCM wasifanye kama Makaburu kule Afrika Kusini walivyowatesa na kupora uhuru wa Waafrika. Baadae waafrika walijihamu na kipigania hakizao na walishinda.
    Makaburu walimfunga Mandele kwa miaka mingi..lakini siku ya siku walishindwa.
    CCM isifikiri itatawaka Tanzania milele...wanajidanganya. Wekeni mazingira ya haki na uhuru siku moja mtakuwa wapinzani na mtajutia mazingira uliyoyatengeneza.
    CCM hamuwezi kutawala milele!!
    Vyama vya upinzani pia wasiwe waoga..maana kama mtu anakunyima uhuru wako basi unalazimika kuutafuta kwa njia zote.
    Wanasiasa wetu wapendwa..msihofu na kuogopa kuhojiwa na police..Makaburu walifanyaga huo mchezo siku zote...muhimu ni kujenga mikakati..baada ya kuhojiwa nini kinafata mitaani. Police twaishi nao..watoto wao twasoma nao..Waafrika wa Tanzania tupo nanyi.. tuambieni nini tufanye..
    JPM kama kweli amedhamiria kuwa mtu wa MAGEUZI na kama kweli anataka waTz wampende kikweli..basi akomesha hiyo hali ya kambi moja kunyanyaswa ndani ya nchi yao. Tanzania ni ya Watanzania...likumbukwe hilo!
    Mfumo ubadilike ndani ya chama chako na nje..usitawale kwa uoga wa Wapinzani.. ufantayo ni makuu ila ukiwa umevaa viatu...shati na kofia inayowatia kinyaa Watanzani...wanaohitaji kuona CCM after all these years inakaa pembeni...na hiyo siku yaja!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMEONGEA PUMBAAAAAAAA WEWE NDO HUMPENDI JPM NANI ALIKWAMBIA JPM HAPENDWI????? HUYO MBOWE HAJITAMBUI KUWA UPINZANI SIYO MBAYA LAKINI UPINZANI ANAUTENDEA HAKI?????

      Delete
    2. Mdau, Unaelewa kuwa kuna masikini wa hela na wengine ni Maskini wa Fikra kwa ufinyo wa muono.. sasa we unadhihirisha jinsi ulivyo leta hoja yako kuwa ni Maskini wa Fikra na upeo Finyu... Hu wakati wa JPJM hudai haki ajili bila ya wewe kujua yeye anatudaia Haki yetu sisi wanachi vilivyo.. Wala usinde mbali angalia Vielelezo na changamoto na miradi aliyoweza kuifanya na serikali yake kusimamia chini ya uogozi wake is second to None.. Bado una la kusema.. Kinachohitajika ni Ushirikiano wetu sisi wananchi Wazalendo kuwajibika kwa ufanisi na Uadilifu na tuwe wakweli hapo ndipo tataweza kumsaidika kazi yake ngumu tuliyompa ili iwe inawepesi fulani na kuweza kutufanyia mendine mazuri zaidi... Nakuomba ukae utafakari bila ya kuwa na mwelekeo au utashi wa chama chochote nalafu jibu utalipata tena litakuwa ni sahihi... Tumuombe mungu ampe afya njema na umuri mrefu... Huyu JPJM ni mchapa kazi na Muadilifu ... Sema usitegemee kwamba atabadilisha haya yote kwa miezi au mwaka manake Kidondo kilishakuwa kimeoza na HEWA ilija Kila Mahali... Kazi tumempa ni Ngumu inahitaji ushirikiano wa kikweli na uhalisi wa matendo bila kujali Siasa tumeshachoka nazo tunataka Maendeleo na Nakuhakikishia.. Tukimpa ushirikano Maendeleo Yako Karibu...Karibu Tanzania yetu mpya ya innovation Performance and Patriotism... Tutafika na wewe pia badilika na mwelekeo uwe Positive... Nashukuru kama umenielewa na wote tuwe na mwangalio huu.

      Delete
  4. Sasa ni mchezo machafu.nilifikiri Ndugu Magufuli atabadirusha nchi.Kaja
    N.a. speed kubwa ya kutumbua bila kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.poilisi kuwinda viongozi wapinzani kama wanyama, ni mtu asiyezijua dheria n.a. matumizi ya poilisi nchini tu ndiye ataunga voted hivi. Ni intimidation n.a. uficteta ambao tayari unagawa watu, nchi na italeta vita vya ndani kwa ndani ambavyo ni hatari sana kwa nchi.tunaingiwa na hofu Tanzania itakuwa kama middle east.inanishangaza na ukimyawa chama cha ccm kinachoendesha nchi hii kinyume cha sheria.Na wanavyobadilishana vyeo kutetea maslahi ya watu wachache ambao hsta Magufuli mwenyewe ameshindwa kuuvunja mtandao wao mkubwa uliojitwalia sheria mkononi, mali za watanzania, hela wanazopewa kwa kutoa mikataba mibovu na jinsi watu wa magharibi walivyoiteka nchi na waschina huku wakitoa vimisaada kuwafumba mavho watsnzania.wameyashika mabenki yote wakiwa washauri hulo, wameshika madini yote kupitia watanzsnia walooko kwenya mabenki na wizarani.ni hawa wanaokaa kimya licha ya kudai wanaleta demokrasia , demokrasia ya wizi, wamekaa kimya sababu ndio wanaofaidi wanapoona watanzania wanaodai haki wansnyanysswa na kufungwa mifomo wsko kimya wanawapiga jeki wanaccm wachache wsnsokula nao kuhakikisha mambo hsyabadiliki nchini. Wsmempa Magufuli Ile m isaada I lo astumbue tena. Lakini hajijui wsnanfunga midomoili asiwatumbue viongozi wakuu waliopita nfio walioshiriki kuihujumu nchi hii.n.a. sasa bado wengine hawatski kuuachia uenyekiti wakati katoka histories ya nchi hii haijawahi kutoka lakini watanzania hawajui kudadisi ni kwa nini. Tumezoea kutawaliwa na si kujitawala kiuhuru na kufikiri.wazito wa kufikiri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Unaelewa kuwa kuna masikini wa hela na wengine ni Maskini wa Fikra kwa ufinyo wa muono.. sasa we unadhihirisha jinsi ulivyo leta hoja yako kuwa ni Maskini wa Fikra na upeo Finyu... Hu wakati wa JPJM hudai haki ajili bila ya wewe kujua yeye anatudaia Haki yetu sisi wanachi vilivyo.. Wala usinde mbali angalia Vielelezo na changamoto na miradi aliyoweza kuifanya na serikali yake kusimamia chini ya uogozi wake is second to None.. Bado una la kusema.. Kinachohitajika ni Ushirikiano wetu sisi wananchi Wazalendo kuwajibika kwa ufanisi na Uadilifu na tuwe wakweli hapo ndipo tataweza kumsaidika kazi yake ngumu tuliyompa ili iwe inawepesi fulani na kuweza kutufanyia mendine mazuri zaidi... Nakuomba ukae utafakari bila ya kuwa na mwelekeo au utashi wa chama chochote nalafu jibu utalipata tena litakuwa ni sahihi... Tumuombe mungu ampe afya njema na umuri mrefu... Huyu JPJM ni mchapa kazi na Muadilifu ... Sema usitegemee kwamba atabadilisha haya yote kwa miezi au mwaka manake Kidondo kilishakuwa kimeoza na HEWA ilija Kila Mahali... Kazi tumempa ni Ngumu inahitaji ushirikiano wa kikweli na uhalisi wa matendo bila kujali Siasa tumeshachoka nazo tunataka Maendeleo na Nakuhakikishia.. Tukimpa ushirikano Maendeleo Yako Karibu...Karibu Tanzania yetu mpya ya innovation Performance and Patriotism... Tutafika na wewe pia badilika na mwelekeo uwe Positive... Nashukuru kama umenielewa na wote tuwe na mwangalio huu.

      Delete
  5. TATIZO NI WALIOKO MADARAKANI KUWAONEA UPINZANI NA KUWABANIA MAHITAJI YAO!

    ReplyDelete
  6. Wapinzani jipange kwa oja sio kusema uongo wananchi wametutuma atujawatuma kitu shida na uroho wa madaraka ndio shida yenu JPM ageuki tena nyuma Tanzania itasonga mwepo msiwepo apa kazi tu hamna jipya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad