Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa. Waache watu waseme. Wakosoe kwa nia ya kujenga nchi. Watu wote wawe wa CHADEMA, wawe wa CCM hata wasio na vyama ni haki yao kusema.
Ukiwazuia watu kusema ni hatari sana. Katika maeneo mengine duniani ambako ugaidi umekuwa tishio, ni kwa sababu watu walizuiliwa na kunyimwa haki ya kusema na ukajengwa utawala wa mtu mmoja kusikika peke yake.
Tusifike huko. Tuwapatie watu uhuru wa kusema, kukosoa na kutoa mawazo mbadala. Hii ndiyo haki tunaipigania mahakamani.
Freeman Mbowe: Watu Kuwa na Uhuru wa Kusema ni Afya kwa Taifa
7
June 16, 2016
Tags
Uhuru wa kusema haimaanishi watu waseme uongo ambao unaweza kushawishi wengine kufanya madhara au kuvunja amani ya nchi
ReplyDeleteMbowe, Hakunana anaye kataZa kusema..Kusema Ni gani, kusema kunajenga undugu/ Kusema kunaleya maadikiano..Lakini unachoaema wewe Ina.aanisha mengine katika huko kusema unakodai wewe kumejaa ajenda zilizojificha kwa chuki /Tamaa/Uchu Na haya zaidi Ni uropokaji WA kukurupuka Na kujenga uchochezi Ili kibainisha uonevu,ukisefu/ udanganyifu Na Upotoshaji..Au nimekosea???? Ukiangalia hizi ndiyo dalili zilizo jidhihisha katila kila unavyo zungumza..na kutumia kauli elekezi ya neno demojrasia kwa hiyo Ni bora kunyanaza kuliko kusema na you will gain more fame and respect as your ultimate goal..So NYAMAZA KULIKP KUMWAGA SUMU..Umenielewa MBOWE..au wadau mnaojaje????
ReplyDeleteSawa kabisa mdau. Huyu Ni katika wale wale Na siasa uchwara zilizo washinda Na kuwapiga chenga..sasa kawacha demokrasia uchwara Na anataka kuvumiaha hakuna hali ya kusema inanyimwa..wote wamwaga sumu hawa tumeshawastukia..
DeleteMbowe unahitaji kuwa Na maadili katika kusema..Je wewe unayo??
ReplyDeleteyaani hili li mbowe ni lichochezi sana, uhuru walishapewa lakini hawautendei haki huo uhuru waliopewa badala yake wanafanya uchochezi tumewachoka hawa jamaa
ReplyDeletesiku zote tunasema, na tutaendelea kusema lakini Mbowe ACHA UPOTOSHAJI nani aliyezuiliwa kusema? ila mi ninachojua ni lazima useme kwa hekima sio kuropoka kama unavyoropoka wewe au zitto halafu unasema unazuiliwa kusema jiulize mwenyewe tena acha kutoa maneno ya uchochezi kwa watu jichunguze mwenyewe kama kinywa chako unapiga mswaki halafu ndio utoe maneno hayo kilaz mkubwa wewe
ReplyDeleteAhhhhhh.. Nimesikitishwa na hiki kitendo... Tena sijakitegemea Kwetu hapa TANZANIA. MBOWE MBOWE .. MBOWE BADILIKA BADILIKA MWELEKEO..
ReplyDeleteKwa sisi Watanzania na jinsi tulivyo lelewa na kulea watoto zetu. Tofauti ya Dini haina gap kubwa baina yetu .. tumecheza pamoja/ tumesoma pamoja/ tumekwenda jeshini pamoja/ tumefanya kazi za ujenzi wa taifa pamoja.. tumeweza kungojeana kwa baada ya ibada zetu ndiyo tuanze safari yetu kama ni za matembezi au kutembelea wagonjwa mahospitali.. Na hii tumedumunazo katika maisha yetu na tumeweza kuheshimu dini na ibada zetu ipasavyo.
Mwezimtukufu wa Ramadhani ni Moja ya nguzo ya dini yetu ya Kiisalamu ambayo tunafundishwa toka utotoni na inatujenga kuwa wavumilivu na wastahamilivu na kuweza kujiweka na kumjua aliye na halii duni zaidi maisha upande wake yakoje..Na mwezi wa ukarimu na karam... mwezi wa kusameheana na kuoba maghfrira kwa mola wetu na kuzidisha ibada na kuweza kuwa karibu na familia na Jamii na watu wako wa mji wako na mikoa yanu na Taifa lenu na ulimwengu kwa ujumla..Leo nikikwambieni hapa Obama anaalika wana Diplomasia wote Wa nchi za Kiislamu na wasiokuwa hii ni kwaajili ya Nini? inathibitisha kuwa Tunaheshimu na kuelewa Ramadhani ni Nini halafu pia inaashiria kuwa Dini zetu hazitutenganishi sisi wote ni wamoja na isitoshe inajenga Imani katika maelewano baina ya watu.. Hivi siku chache zilizo pita nilikuwa Malaysia.. Nilipendezewa sana baada ya sisi kualikwa baadhi ya walioalikwa walikuwa ni waMalay wenye asili za Kichina na Kitamil na waarabu niliuliza jee hawa wote wanafunga? Jibu lilikuwa Zuri sana na nikafurahi.. Sisi hapa Malay/Mchina? Muhindi/ Mwarabu / wote ni wamoja na kila mwanajamii wetu katika wakati kama huu anamsapport mwenzake bila kuonesha kasoro..Akaanza kunieleza Historia ya nchi yao baada ya kushikwa na Dr Mahathir Mohammed to katika ukulima wa Rubber tree /Minazi na Mawese mpaka leo Malaysia ni Moja ya Economical Giants of South East Asia.. Nilimuuliza vipi iliwezekana na kwa muda gani... Na kilicho endelea nilisikiliza na huku siamini naamini .. Ilichukua miaka karibu @0 na kidogo.. yote ilikuwa ni kwamba watu walibadilisha Working Culture wakawa wote wameondoa Tofauti zao za vyama .. na aliitwa Dikteta kwa ajili wa wavivu wasiotaka maendeleo na wapenda kusema na alikandamiza panapo hitaji kukandamiza ili alete maendeleo ya jamii na watua baada ya kuona mambo yanakwenda viwanda vinafanya kazi ajira inapatikana .. WAkaondoa tofauti zao na kuanza kujituma zaidi na kina mama wakaaza kukatiwa barabara za toll kwa kilometa na ajira ikawa kila mwanafamilia anawajibika nchi ikawa haina tena gumzo ni kila mtu kazi kwa shifts kila nyanja.. mkulima wa Rubber tree ameondolewa tax na anafatwa huko huko shamba kwa huduma zote shule/hosp/benki/huduma zote sa rekikali na wana serikali yao ya kitongoji kuwathibiti vijana viongozi wa kesho kama iliyofanywa hapo Siha (Kilimanjaro) na Kasalazi (Sengerema) ili kuwaweka katika Maadili hata watakapo fikia wakati wa kuwa watendaji ni kwamba wameshapata Malezi bora na imani bora ya dini zao bila tofauti na ni Taifa Moja na Mwelekeo Mmoja... Na Mpaka sasa Haya ndiyo Maisha yanayo endelea... Hili wa Watanzania Kususiana Futari na Kudhalilisha IMANI kwa kuonesha Kuto Heshimu Mwaliko wa kuadhimisha Moja ya Nguzo ya Dini Yetu ya Kiislamu Hapo Nasema HILI SIYO SAWA NA HALIKUTEGEMEWA KUINGIZWA KISIASA NA SIYO SIASA .. Bila kumtaja jina mmoja wa Waziri wa Awamu ya Nne ambaye tulikuwa Marafiki to kato utotoni... Alikuwa Dini Nyingine na Mimi ni Muislam.. Ilikuwa yeye ananikumbusha wakati wa Sala na tunatoka pamoja kwenda msikitini na ananingoja mpaka namaliza kusali nalafu tunaendelea na mengine hii imejenga Undugu baina yetu na watoto zetu na familia zetu. Na Tofauti baina yetu hakuna ni tumekuwa ndugu hata Vijana wake wamekuja kusoma Na tumeishi nao bila kuona tofauti kuwa mie si mzazi wake.. Anaona ni mzazi na akimaliza anarudi kujenga Taifa.. Naomba toufauti zetu Tusizilete katika HAYA... TANZANIA NI UPENDO / AMANI/ UMAOJA NA USHIRIKIANO WA MILELE.