Hamisa Mobeto Asema Bado Kuna Watu Wanadhani mtu Kuwa Model ni Uhuni

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amewataka wazazi kuuwaacha watoto kike/wakiume waingie kwenye fashion na kuachana na dhana ya kwamba kufanya modeling ni uhuni.
Mobeto

Akiongea na Bongo5 wiki hii wakati akitoa maoni yake juu ya nini kifanyike ili kuboresha tasnia ya mitindo, Hamisa amewataka wazazi kuichukulia tasnia ya fashion kama sector nyingine za ajira.

“Unajua Watanzania wengi bado hawajajua nini maana ya modeling , wengine wanadhani ni uchafu, uhuni,” alisema Mobeto. “Tanzania kuna Wanawake wazuri sana, kama wazazi wakiwaruhusu vijana wao kufanya modeling basi Tanzania tutafika mbali sana kwa sababu tuna warembo wengi sana,”

Pia mrembo huyo ameitaka serikali kuangalia tasnia ya fashion ambayo kwa sasa inatoa ajira kwa vijana wengi pamoja na kuitangaza nchi.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe Hamisa ni mrembo saana mara mia kuliko Lulu mpaka sasa nashangaa kwa nini Majay alikuacha wewe japo ulimzalia akaenda kwa Lulu, wewe Hamisa ni mrembo vile mpaka unaonekana kama umetokea Thailand, na Lulu anaonekana mswahili kutoka mazingira ya uswahilini pale Majay kachemsha samahani Lulu ingawa wote wewe na Hamisa ni fan yangu lakini nimeandika ukweli halisi ulivyo

    ReplyDelete
  2. Hamisa Mobeto ni Iphone na Lulu Michael ni Techno.

    ReplyDelete
  3. hapo umekosea Hamisa ni Techno na Lulu Yap ni Iphone

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad