Henry Kilewo ' Hakuna Haja ya Onesmo Nangole Kukata Rufaa ya Kuenguliwa Ubunge, Twendeni Longido Tukawakimbize CCM Mpaka Watajuta'

Mungu ampe ujasiri mzee wetu Onesmo Nangole wala asihangaike na Rufaa, twende na hawa magamba tukawaambie namna ambayo Umma unawachukia kwasasa... Tutawapeleka mpaka mtajuta kushiriki uchaguzi.... Mtakuwa wepesi kuliko ile pamba... Yaani nyie maccm tukikutana huko mtaomba uchaguzi uishe ili mkimbie aibu... Ni huzuni kwa mzee wetu kuenguliwa ila itakuwa somo sahihi kuiambie ccm namna ambavyo Hawapo na UMMA tena.... Twendeni Longindo......

By Henry Kilewo
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kileo yako yalikushinda utayaweza ya mwenzio. rudi upaleni uone si walikubwaga wwew

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa hivi watanzania tumeamka,haiijalishi unatoka chama gani kama umefanya vizuri tutakuchagua,kama ni wa kupiga kelele tu inakula kwako.Kilewo alikuwa akija kuomba kura tunakuwa watu wachache nikajua tu huyu safari imeisha.

      Delete
  2. Pamoja sanaa kamanda kilewo.....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad