Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).
Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,
Kushoto ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, aliyeshika kirungu nje ya ukumbi wa Bunge mjini Juba Sudan Kusini.
Sasa ilitakiwa wafanye nini wakati nchi bado changa ndio kwanza imezaliwa? Pesa kidogo serikali inayozalisha wanailekeza katika kujenga uchumi wao ili kukuza taifa. Mlitaka wawe kama mawaziri wa bongo? Angalia wabunge wa chama tawala (ccm)hawapendi serikali inapobanwa na wapinzani, wao hupitisha miswada tu hata kama haina faida kwa taifa. Lakini serikali ilipogusa mambo ya kodi kwenye pesa zao wamekua wakali na kupingana na serikali yao wenyewe, unadhani wataweza uzalendo huu wakuingia ofisini na kandambili?
ReplyDeleteKumbuka wachina walianzaje...leo hii ni moja kati ya mataifa tajiri duniani,kwahiyo kuvaa kandambili sio inshu inshu ni kundelea kiuchumi
ReplyDeletenahisi nchi yao ni masikini kama ya kwetu.
ReplyDelete