Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa Kimataifa ila Bado, Wananchi Tusaidieni

Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata majibu.

Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake..

Tazama Video:

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpira kona huu

    ReplyDelete
  2. Muda wanaoupoteza kumtafuta huyu jamaa si wangekwenda kutafuta majambazi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad