Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uchochezi gani?aki ya mungu tunaelekea kubaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna cha kuelekea pabaya hawa kina zitto wako wengi wakiachiawa ndo watakao tupeleka pabaya ili mradi mwanasiasa uchwara wanataka uhuru wakupitiliza waachiwe wahare wanavyotaka

      Delete

    2. Tanzania watu wengi tumepewa macho ya kutizama ila bahati mbaya tunavilema vya kutafakari tunavyovitizama,wenye masikio huwa wanasikia kwa bahati mbaya na kuzungumza kwa makusudi,Zitto ukimtizama kwa jicho la chuki hauwezi jua ubora wake na ukimsikiliza kwa sikio la chuki hauwezi jua shabaha ya hoja zake.

      Delete
  2. Mtapiga saluti hadi akhera

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zitto ni Muovu.. Mpenda Sifa na mkosa Amani ndani ya Roho yake ambaye angependelea Spill over imfikie kila mtu.. Inabidi tujue pia Historia ya Utotoni mwake maisha yake marafiki zake na mwenendo wake... Ni kijana asiye na mwelekeo na Ni Mpotoshaji wa Hali ambayo si ya kawaida.. Na inaelekea Tulimwachia hapo awali sana mpaka akawa Hewa inavyo vuma na Mbinu mpya za KUVIZIWA ... Wewe Uviziwe ??? Umechanganyikiwa unahitaji tukupumzishe kwa muda Mrefu sana... Hapa kazi tu

      Delete
    2. Viongozi wengi wa Tanzania wana uwezo mdogo wa fikra na upeo mdogo wa kupambanua mambo kwa kina na ndio maana hawapendi changamoto za watu waliowazidi utashi na akili,wengi wanamchukia Zitto Kabwe usoni ila miyoni mwao wanatamani watoto wao wawe na utashi wa Zitto Kabwe.

      Delete

    3. Tanzania watu wengi tumepewa macho ya kutizama ila bahati mbaya tunavilema vya kutafakari tunavyovitizama,wenye masikio huwa wanasikia kwa bahati mbaya na kuzungumza kwa makusudi,Zitto ukimtizama kwa jicho la chuki hauwezi jua ubora wake na ukimsikiliza kwa sikio la chuki hauwezi jua shabaha ya hoja zake.

      Delete
  3. Eeeh!Ukipanda matembele na utavuna matembele.UCHOCHEZI HAUFAI.

    ReplyDelete
  4. Kwanza mpigieni saluti
    Zitto
    Msipopiga atawashitaki

    ReplyDelete
  5. Tena Ni Vizuri na Itakuwa ni somo jema na la nguvu kwa yeyote mwenye ni na lengo la kutuvurugia Amani na utulivu wetu na Nchi yetu.. Inawezekana wengine waka wanatumiwa na mabwana zao nje na ndani manaake maadui hawa sura tofauti japo ndani ya mioyo yao watakuwa na chuki na kuona katika nchi zao Wamekosa Amani na Utulivu.. Wanaona bora wawatumie ndani watu alio wapandikiza / Vibaraka kuwe kuthubutu kuwawezesha kufukia lengo lao la Uharibifu.. Tunasema Tanzania Yetu ni Nchi ya Amani na Watu wake Ni watulivu na Wamestaarabika Kiasi kuwa sisis tumekuwa watu wa kutolewa mifano kwa Uzuri wa Tabia Zetu na Nidhamu na Heshima katika Jamii za Ughaibuni popote alipo Mtanzania Mifano ni Mingi na ni mizuri tu. TANZANIA NI YA WATANZANIA NA KILA MMOJA WETU ANA JUKUMU LA KULINDA AMANI YETU/ YA NCHI YETU / YA WATU WETU / NA WATOTO ZETU... HATUTOMWACHIA MTU YEYOTE AU KIKUNDI CHECHOTE AU TAIFA LOLOTE KUWEZA KUTUINGILIA DIRECTLY AU INDIRECTLY KULETA UFISADI NA MVURUGO WA AMANI YETU NA NCHI YETU...SABABU TUNAYO / NIA TUNAYO NA UWEZO TUNAO...TUTAKEMEA / TUTAFUPISHA NA TUTAKOMESHA.. Wakati wowote mtu yeyote na mahali popote... Mungu ibariki Tanzania / Idumishe Amani yake na Upendo na Uzalendo.. na Mbariki Raisi wetu JPJM na Watendaji na Wawajibikaji wa Awamu yetu hii ya TANO

    ReplyDelete
    Replies

    1. Tanzania watu wengi tumepewa macho ya kutizama ila bahati mbaya tunavilema vya kutafakari tunavyovitizama,wenye masikio huwa wanasikia kwa bahati mbaya na kuzungumza kwa makusudi,Zitto ukimtizama kwa jicho la chuki hauwezi jua ubora wake na ukimsikiliza kwa sikio la chuki hauwezi jua shabaha ya hoja zake.

      Delete

    2. Tanzania watu wengi tumepewa macho ya kutizama ila bahati mbaya tunavilema vya kutafakari tunavyovitizama,wenye masikio huwa wanasikia kwa bahati mbaya na kuzungumza kwa makusudi,Zitto ukimtizama kwa jicho la chuki hauwezi jua ubora wake na ukimsikiliza kwa sikio la chuki hauwezi jua shabaha ya hoja zake.

      Delete
  6. Huyu nakumbuka siku zile Mbowe alimfanyia nini .. walimyanganya Simu zake na Laptop.. Halafu walitaka kunfanyizia... alafu ikawaje ikawaje...wakashiti.. sasa asijione labda atafanyiza kwa kutumiwa na maadui zetu.. Tunakwambia mwasiasa uchwara Rudi Kwenu na uwaambie kuwa Sikuweza na wala Sitoweza,... Watanzania Wako Imara na wanaipenda nchi Yao.. Ambayo kwa sasa iko chini ya watu Majasiri na shupavu kuitumikia na kuilinda katika ngazi zote... Mungu Ibariki Tanzania yetu na Watu Wake. na Raisi wetu JPJM....Na Serikali yetu ya Awamu yetu ya TANO katika kila ngazi..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad