"WATASIMULIWA WAMESHUGHULIKIWAJE?"
Msemaji wa Jeshi la ulinzi wa Wananchi wa Tanzania amesema aliyeandika habari kuwa Jeshi limeibiwa Kifaru atawasimulia waandishi wengine jinsi atakavyoshughulikiwa
"Kwanza ni waambie Kifaru sio bajaji sio Landrover kwamba unaweza kuibeba Kifaru kinapowaka lazima mlio wake utagundulika. Kama mmeanza kutafuta KIKI kupitia Jeshi hatuwezi kuwavumilia. Hii sio sehemu ya kutafutia umaarufu.
''Sisemi tutamfanya nini?? Ila yeye ndio atasema AMEFANYWA NINI NA JESHI
Na tumeliomba Jeshi la Polisi ituachie wenyewe kesi hii" - Kanali Ngemara Lubinga.
Video:
Eeeh hili sasa sheshe..hii ngoma nzito
ReplyDeleteWatanzania tujifunze kuwa na mipaka ya kuongea , Uhuru wa habari tunaoutaka ndio huu, kumbukeni media ndio ilikuwa chanzo cha mauaji ya kimberly, siasa hizi za kupandikizwa chuki zitatuharibia amani. Haya sasa huyu kaingia anga za watu (jwtz) atajuta kitakachomtokea
ReplyDeleteInabidi ashughulikiwe, Maana yake amejaribu kuleta Dhana kuwa hata jeshi letu halina usalama kwa hawa wanaotaka kuleta Vurugu za Usalama waliokosa usalama katika Roho zao.. Mpaka wamefika hadi ya kuweza kuwaambia wananchi kuwa silaha nzito kama kifaru zinaweza kuwa mikononi mwa wavuruga Usalama wakati wowote na Jeshi na wanajeshi wamelala... Na bila kuona kuwa hivi sivyo na haiwezekani.. Lakini amediriki kutufukishia hapari Potofu ili muradi wananchi tuweze kuingiwa na wasiwasi kuwa Usalama unaanza kutoweka kama yalivyo na Nia zao za Kuuvuruga.. Jeshi letu liko imara katika kulinda mipaka yetu na kuhakikisha kuwa Nchi haiingiliwi wala kuchezewa na yeyote yule na wakati wote wako macho katuka kutekeleza wajibu wao na Dhamana waliyopewa KUILINDA NCHI YETU kwa Maadui wa NDANI NA NJE YA NCHI YETU. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU YA USALAMA NA UPENDO.
ReplyDeleteHuyu ni Lazima apewe fundisho na Onyo Kali ambalo itakuwa ni Somo kwake na wenzake wenye chembe chembe za upotofu na kama alikuwa ni Mwandishi basi pia afungiwe Ruhusa ya Uandishi kwa miaka isiyo punguwa 25. ajili ni mpotofu mwenye lengo la kuleta wasi wasi na kuwatoa Imani Watanzania kuwa Usalama Unalega lega. Ambavyo ni vingine na Ukweli halisi. Hongera Jeshi letu kwa Dhamira ya Kumshughulikia Ipasavyo huyu Mpotoshaji... Hapa Kazi tu.
ReplyDeleteLabda alifikiri ni Boda Boda!!!
ReplyDeleteJamani alitaka kufanya Biashara ya Kuuza Vyuma au Kakurupuka tu?
ReplyDeleteAshughulikiwe kufatana na sheria na haki za binadamu. Mahakama ndo itatwambia nani mwenye kosa halafu anaweza kuchangiwa tu kama atakua na hatia wala sio issue watz wana umoja sana........Hzo kucha na meno kama hua mnachangiana huko kwenu sio tz...
ReplyDeleteHuyu hataki hali kwani unafikiri Ni binadamu?? Ni kagazeti Tu..au wewe unafililiaje?
DeleteKwani unafikili huyu alikuwaga binadamu?? Hapana Ni kagazeti!!! Likalatasi la kusomaga asubuhi
ReplyDeleteHuu ndio ujinga wa jeshi na polisi wao wanajiona wako juu ya sheria.kazi kupiga watu bila sababu wakati mahakama zipo.
ReplyDeleteMdau hapo kichwani upo Salama?? Au ndiyo zimeshaanza kugonga minara Na kupoteza network!! unastaajabisha uliyaka jeshi lingipie ngoma Na watu wameshakunywa bora bora faru..imetoka getini bila kujulikana au vipi mdau..lazima wajue manake itabidi mtu awahibishwe..sasa huyu jamaa mpaka alippkutanalo iliikiwa mitaa gani vile..itabidi wacheze nae..ngoma nagwa hii...hapa kazi tena kazi kubeaa Chezea Jeshi..hakuona viwanja vya saiI yake!!! HAYA SASA KAZI NI KWAKE!!!!!
ReplyDelete