Kinana amekazia haya wakati wa kongamano la Kigoda cha Mwalimu. Amemtumia Mwalimu kuwataka watawala kuomba radhi pale wanapowakosea wananchi!!
Hivi karibuni watawala wamekuwa wakifanya mambo kwa kukurupuka mfano Uhaba wa Sukari, na kuita vijana wetu vilaza,lakini wamekuwa wabishi kukiri makosa.
Haya yetu macho ukawa
ReplyDeleteKinana tumbua majipu mizigo
ReplyDeleteNaipenda ccm Mimi kwa vijmbe, vishindo? Na mipasho
Kinana omba radhi meno ya tembo na wewe
ReplyDeleteAcha matusi ya reja reja
Kufumbia wenzako