Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kitwanga... Huu ndiyo uzalendo halisi na imewadhihirishia wote aliokuwa na Fikra za Sivyo ndivyo kuwa Wewe Ni kijana wetu unaejua wajibu wako ambao mda wowote uko tiyari kulitumikia Taifa pindi ukihitajika.. Karibu sana na kama tulivyokwambia hapo awali kuwa tumekuvua kofia moja na Ushiriano wetu kwako uko pale pale na uwajibikaji wako juu ya Taifa uko pale Pale. Na tukiuhitaji ushauri wako pia hatutosita kuupata na wewe vile vile hautosita kuitikia mwito.. Hatua hii ni ya maana na inaonesha Uzalendo wako na Imani yako juu ya Awamu yetu hii ya Tano... Hapa Kazi tu. Mwigulu yuko na wewe na mawasiliano pia yako na ni Mazuri. Kwa ajili ya Nchi yetu na kupeleka Gurudumu la maendeleo mbele. Kwa mara nyingine tena Karibu Sana .
ReplyDeleteSasa ameonyesha uzalendo gani!! Nilazima akabidhi ofisi atake asitake. Wacheni unafiki nyie watanzania msio soma.
ReplyDeleteSio lazima kila jambo ubishe,hizi picha katika haya makabidhiano sura ya muheshimiwa Mchemba na muheshimiwa
DeleteKitwanga zinaonyesha uzalendo,kwani wangapi tumeshuhudia
hawatoi ushirikiano kwenye kukabidhi ofisi?
mkomavu kitwanga safi anakubali
ReplyDeleteYAP KITWANGA HAPA KAZI TU,SAFI SANA.NA KWA JINA LA YESU POMBE UTAACHA BABA.
ReplyDelete