Kugomea Vikao Vya Bunge Sio Suluhisho Kwa Matatizo Ya Mwananchi Aliyekuchagua

Wabunge Wa UKAWA Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.

Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.

Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe ni mjinga na pumbavu
    Kafiri mkubwa mungu akulaani na hao unaowatetea
    UKAWA si wajinga kama wewe na hao unawatetea bila UKAWA bungeni kumeoza kabisa na ndo mnaona aibu
    Kutumia kila njia za kipumbavu na kijinga eti wamsamehe Tulia fyuuuuuuuuu
    Hapa kazi mpka kieleweke
    Kama mnafikiriki ndo isauce kwetu mmeula na chuya
    UKAWA Bingo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio wote nyie wa siasa UCHWARA,huwezi kuonge kiiistaarabu mpaka matusi au lugha chafu?inasaidia au inabomoa?

      Delete
    2. unatukana afu huleweki sijui ndo jazba na wewe zimekupanda

      Delete
    3. Wajinga nyie niwe na jazba kwa lipi
      Tulia si issue hapa tunataka bunge liwe huru kuwakilisha mawazo ya wanainchi
      Tulia alivyoingia bungeni tangu zile mita 200 za u uchaguzi alivyozitetea hata sisi vilaza tunajiuliza kulikoni akawa mbunge wa kwanza kuteuliwa na rais
      Bungeni Ana dharau sana hasa kwa wapinzani kulikoni
      Kanuni zipo lakini kuna mazingara mengine inabidi upinde kwa mfano la wanafunzi 7800 wa chuo Dodoma alikataa kwani alikuwa na agenda ya kuwasimisha wabunge wa upinzani
      Fyuuuuuuuuu
      Wanafunzi wa kike hatutomsahau maishani
      Tulia

      Delete
    4. Wanafunzi 7800
      Bunge lolote lingesimamisha shuguli na kushughulikia wananafunzi hao
      Tatizo la Tanzania tunasahau sasa issue imekwisha lakini UKAWA haijaisha
      Hayo ni Mazoea ya CCM
      Kudanganya watu

      Delete
  2. Hakuna mwenye elimu wala akili ya kuwazidi wabunge wa ukawa.....wanajua wanalolifanya kuliko unavyolichukulia. CCM hawakutaka kua challenged kwenye budgeti hii ndo maana waliamua kupiga watu muhimu nje ya bunge kwanza. Siku zote nawaamini wabunge wa ukawa kwani hua wanazingatia maslahi mapana ya taifa na hii budget mtaiona machungu yake wananchi pigeni makofi tu. Wapinzani ndio waliomba mchakato wa katiba jk alisita wee mwsho wa siku akakubali....warioba akakusanya maoni akamaliza.wakati bunge la katiba linataka kuanza wapinzani walisema kua tuna mchakato wa uchaguzi ni bora bunge lisubiri uchaguzi uishe kwani hata likikaa halitaweza kufikia mwsho na kuipata katiba pendekezwa.....ccm walipinga wakalianza bunge la katiba ili wapate hela za kampeni.....Ikowapi katiba leo kama ilikua sio kutafuna kodi zetu

    ReplyDelete
  3. Hivi kumbe wote wanokuwa UKAWA ni wagonjwa wa akili? hivi kweli Wabunge wote wa Ukawa wanaweza kudhibitiwa na Dr Tulia? hii inaonyesha wazi suala kujua na kuelewa taratibi, sheria na kanuni ni tatizo kwa UKAWA. Siasa inahitaji uvumilivu na staa na siyo kuishi kama mwan-harakati muda wote. Suala la jazba na uoga wa kufa kifo cha asili ndiyo sababu kubwa ya UKAWA kuweweseka kila kukicha. Hawataki kuweleza wananchi kuwa sisa simewashinda kwani hawana cha kuweleza wananchi mambo yanaenda vizuri tena kwa kufuata sheria. Hata kukimbia bungeni wamekimbizwa na sheria na taratibu na sasa wanakaa vijiweni na kuzurura mitaani as if hawana kazi. Tuliwaeleza wakae bungeni kwa hali yoyote ile na kama wanaonewa wananchi wataona wao imekuwa kila kukicha ni vituko na mikasa. Acheni kuishi kwa matukio wakati huo hakuna. Sasa ni wakati wa kufanya kazi badala ya mikutano na maandamano nendeni na vision za Dr Maghufuli nyie hamna na ndiyo maana mnayumba kwani hakuna matukio ambayo mliyazoea kwa ajili ya kuwajenga kisiasa. Jipangeni vizuri kwani umoja huo utakufa haraka na hakuna mtu ataamini, sababu kubwa hamtaki kujielewa kuwa kwenu kuna tatizo na baadhi ya wabunge wenu wanalijua lakini wameminya ila haya nisemayo mtayaona baadae kwa sasa uwezi kukubali ila mwenendo wa opposition upo weak na mwelevu atakubaliana na mimi.

    ReplyDelete
  4. Ni bora wanavyotoka kwani hata wakikaa ndani chochote watakacho ongea wataambiwa wamekiuka kanuni za bunge!!! so bora waendelee kuwa nje tu!! hawa wanaoitwa ccm tumeshawazoe, maana bunge la katiba walijua kabisa wanapindisha kanuni lakini wakang'ang'ana mradi tu wapate zile Tsh. 300,000/= za posho kwa kila siku! kinachotakiwa acheni kanuni zenu kandamizi basi.

    ReplyDelete
  5. Na mbona bado!!!!! Tulisema huu ndo mwisho wa upinzani TZ ona upinzani wanasambaratika hawana ishu wala ajenda,,
    Wanadai BUNGE LIVE,, ohh Tulia hivi ohh Tulia vile wakati mwenzao anaongoza Bunge kufuata yaliyomo kwenye miongozo yao
    Oh Tutavuruga Mkutano Mkuu kwa kutumia nguvu za wanach hivi hawa hawaelewi lolote??? Mkutano Mkuu hauhudhuriwi na wanachi ni wajumbe na wawakilishi na kilichozuiliwa ni mikutano ya kichochezi inayokusudiwa na WAKAWA
    Hivi humo Ukawa kweli kuna ehhh,, sijui tena nisemeje mweeee

    ReplyDelete
  6. Na mbona bado!!!!! Tulisema huu ndo mwisho wa upinzani TZ ona upinzani wanasambaratika hawana ishu wala ajenda,,
    Wanadai BUNGE LIVE,, ohh Tulia hivi ohh Tulia vile wakati mwenzao anaongoza Bunge kufuata yaliyomo kwenye miongozo yao
    Oh Tutavuruga Mkutano Mkuu kwa kutumia nguvu za wanach hivi hawa hawaelewi lolote??? Mkutano Mkuu hauhudhuriwi na wanachi ni wajumbe na wawakilishi na kilichozuiliwa ni mikutano ya kichochezi inayokusudiwa na WAKAWA
    Hivi humo Ukawa kweli kuna ehhh,, sijui tena nisemeje mweeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad