Kuna Msanii Mkubwa Hakupenda Mimi Kujiunga na WCB – Rich Mavoko

Msanii mpya kutoka lebo ya WCB, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa bongo alimkataza kujiunga na WCB.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa alimtumia ujumbe wa simu na kumuuliza kwanini amekubali kwenda kusimamiwa na Diamond.

Sijawahi kusema hili ila ukweli ni kwamba wakati nataka kwenda WCB kuna msanii mkubwa alinitumia ujumbe na kuniambia Rich Mavoko unakwendaje kusimamiwa kazi zako na Diamond Platnumz, kiukweli aliniumiza sana ila nilimjibu kwa roho moja kuwa brother wewe hujui mimi nimetoka wapi na nakwenda wapi hivyo huwezi kujua hata hili litakujaje kwangu,” aliongeza.

Rich Mavoko amekuwa juu tangu alipojiunga na lebo hiyo ya WCB na kuachia wimbo wake ‘Ibaki Story’ unaozidi kufanya vizuri kwenye TV na Radio.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ungekaa nalo moyoni mi sion tabu kwani alikuuliza swali la msingi lakn kwa ugando wa akili yako ukadhan anataka akubanie sio kila kitu lazma uongee wakat mwingine ukimya huashiria ukomavu

    ReplyDelete
  2. mpumbavu sana mavoko hana akili kakubali kuwa chini ya domo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu kile kidemu chake kiswahiliiii. Design ya mama domo na vile vidada vyake. 40 ya mtoto wao mbovuuu. Kwani lazima m post YouTube uswazi wenu ? Yule demu anaonyesha shule 0.0%. Ila kwa baikoko na kusasambua anaweza kufaa.

      Delete
  3. kweli kabisa mungwana lake rohoni sio kuropoka na wala hapo sijui ........

    . tunangoja

    ReplyDelete
  4. NYOOOOOO.... PELEKA UNAFKI HUKOOO KWANI LAZIMA KUSEMA ACHA UCHONGANISHI NANI ALIKUAMBIA HUKO WCB NDIO KILA KITU, USITUKANE MAMBA.......

    ReplyDelete
  5. Alikushauri tu na ni labda kuna kitu kabaini,hata hivyo hukuwa na sababu ya kusema hayo.Ni uchonganishi.

    ReplyDelete
  6. toka kajiunga kawa kama digidigi, nyimbo aloitoa mbaya watamtumia mpaka aombe poo!

    ReplyDelete
  7. Kwani kulikuwa na ulazima wa yeye kuyasema hayo? Yani wanaume wengine wana tabia za kike kikeeeee kama wasenge vileeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad