Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif amejitokeza na kuongelea hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. LIpumba ya kuomba kurudia nafasi ya Uenyekiti.
Amesema kwamba maamuzi ya CUF hufanywa kwenye vikao, tayari kuna kamati ya muda iliyoundwa na Baraza Kuu na hakuwezi kuwa na uongozi juu ya uongozi.
Amesema kuwa Lipumba alijiuzulu mwenyewe, bila kulazimishwa, alibembelezwa hadi na viongozi wa dini na akakataa na kuondoka.
Haya sasa ndio hao viongozi wetu wa upinzani Tanzania. Hivi ni kwa nini wewe Lipumba unapenda kuwafanya watu wajinga?????? Hivi jiweke katika nafasi ya kwao kama ingekuwa ni wewe.
ReplyDeletemineno kuntuuuu
ReplyDeleteSafi maalim msimamo huo huo,kuna vyama vingi anaweza kuenda kwani lazima CUF?msaliti mkubwa huyo
ReplyDelete