Malecela Aendelea Kuijadili Serikali ya Magufuli...

Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amesema Serikali ya Rais John Magufuli imeanza vizuri mikakati yake na imejengwa katika misingi ya kila kiongozi kuwa na wajibu wa kumhudumia Mtanzania.

 Pamoja na hilo, amesema si sahihi kumfananisha na  mtu mwingine kama aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine wala Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere.

 Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma, Malecela alisema, “Rais Magufuli katika mambo anayofanya, tusimlinganishe na mtu mwingine, hatutamtendea haki.”
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Agwe Malecela Milimonyi Muwaha!! Mukuliachichi Na wadodo kukaya!!! JPJM habali nyingone kabisa Mlungu amataze JEMEDALI WETU...JPJM

    ReplyDelete
  2. Nenda zanzibar ukafundishwe kiswahili safi kule lugha ni moja tu.

    ReplyDelete
  3. Hii Ni Shahada kubwa to kwa mkongwe WA siasa Juu ya Uwajibikaji Na dhamira nzuri ya Mchapa kazi wetu..JPJM..mungu walinde a
    Na ampe Afya atutumikie Zaidi..Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete
  4. Safi Sana Malecela..Kumkibali Jemedali wetu JPJM..HUYU NI GAME CHANGER..SIYO HAPA KWWTU TU NI AFILIKA YOTE BA ULIMWENGU WANAFATILIA NA WANAMKUBALI..MUNGU KATULETEA MCHAPA KAZI ANBAE KWA KWELI KATUINGIA MOYONI NA ANATUTUMIKIA KWA GAIDA YA MWANANCHI AKISHIRIKIANA NA TIMU YAKE KABAMBE CHINI YA MH.K MAJALIWA..HAPA NI KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad