Mama Wema Sepetu Asema Kuna Wakati Anapigana na watu Kumtetea Wema

Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku.
wema

Akizungumza katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Alhamisi hii, Bi Mariam amesema amekuwa akigombana mara kadhaa na baadhi na viongozi wa magazeti ya udaku kuhusu stori za uongo.

“Naumia sana kama mzazi, Wema alishaambiwa kwamba ana maradhi ya ngono, kama mzazi najisikia vibaya sana,” alisema Mama Wema. “Mimi nikishasikia hivyo nawafuata watu wa magazeti, nagombana nao sana. Kuna wakati nampigia Wema namuuliza jana ulitoka, anasema hajatoka, ukiwa kama mzazi inauma sana, wao wanauza magazeti kutokana na stori za uongo za mwanangu,”

Aliongeza, “Nimeshapigana na watu kuhusu Wema, wanakuja nyumbani wanaanza kuongea maneno maneno ambayo hayaeleweki,”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama unafunga kweli wewe
    Sema ya mimba tusikie
    Naona wewe na mtoto wako lenu moja
    Fyuiuuui mtu mzima ovyo

    ReplyDelete
  2. Kubwa jinga hawezi kufunga. Ye na mwanae ngoma droo. Ya mimba atayasemaje ?? Si anajua yalikuwa matambara?? Pumbaff yeye na toto lake. Bora Mzee Sepetu hayupo maana angezidi kujuta kuliokota zanga la bar na kulifanya mke. Eti mimba ilikuwa ya mapacha hahahaha. Bibi bomba ungekuwa na mimba si tungehama nchi!!Na bora ulivyo mgumba maana ungeleta sampuli kama wewe na kubwa jinga.mcxxxx

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad