Mayweather Atumia $37m Kununua Ndege Binafsi ya Pili

Aliyekuwa bingwa wa ngumi kwa uzito wa kati Floyd Myweather amenunua ndege binafsi nyingine iliyomgharimu zaidi ya dola milioni 37.

Mtu wa karibu wa Mayweather ameiambia TMZ, “It’s a 12 passenger Gulfstream III with gold cup holders, gold sink, gold accents throughout. It has all white leather seats and a fully stocked kitchen. He now has two jets.

“Air Mayweather 1 and 2,” aliongeza.

Mayweather amekuwa akitumia fedha nyingi kununua vitu vya gharama tangu alipotangaza kustaafu ngumi mwaka jana.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bahati mbaya mnoo tukifa tunaenda wenyewe kaburini ukuu wa Mungu umejidhihirisha katika kifo hakuna ambae ameweza kukishinda...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad