Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe mara baada ya Wakili msomi wa CHADEMA Tundu Lissu kupata dhamana. (amezungumza na wandishi wa Habari)
Freeman Mbowe amesema kauli hiyo niyawapenda demokrasia wote Tanzania na nikauli ya CHADEMA kwa hiyo chama kitakua kila hatua kwenye kesi hiyo.....
Lisu amekana shitaka mahakamani vipi mbowe useme tamko la udikiteta uchwara ni la CDM Hivi hawa wanajitambua au tuwe manyumbu siku zote
ReplyDeleteNaipenda sana Chadema ila naipenda Tanzania kwakua ni nchi yanguu,,,,Mbowe huna jipya hata mkitukana Raisi ndio kwanza mnamuongezea Credit nzuri na mtashangaa 2020 mtakavyo lazwa chali.
ReplyDeleteNdugu ksbugumira kwa kweli sijaona mateso hapa.he wewe ni Mtanzania. Umaskini Tanzania ni unguja, Pemba, ambazo inafanya Zanzibar zimeungana n.a. Tanganyika kuunda Tanzania.
ReplyDeleteKama ni ndio, ulifuatilia uchaguzi. Kama ndio kwa nini watangsnyika, wasomi kama wewe huelewi Lisu analolizungumza. Kwanza nini huoni kama watanzania wa Pemba wanauawa, wanateswa. Kwani nini unsmkubali Raisia afumbie macho jambo holi. Wstu wasomi tunashindwa kuwa wakweli kwa kulinusuru Taifa. sass fairs za somi ni nini.
Ndugu ksbugumira kwa kweli sijaona mateso hapa.he wewe ni Mtanzania. Umaskini Tanzania ni unguja, Pemba, ambazo inafanya Zanzibar zimeungana n.a. Tanganyika kuunda Tanzania.
ReplyDeleteKama ni ndio, ulifuatilia uchaguzi. Kama ndio kwa nini watangsnyika, wasomi kama wewe huelewi Lisu analolizungumza. Kwanza nini huoni kama watanzania wa Pemba wanauawa, wanateswa. Kwani nini unsmkubali Raisia afumbie macho jambo holi. Wstu wasomi tunashindwa kuwa wakweli kwa kulinusuru Taifa. sass fairs za somi ni nini.
hata unachokiandika hakisomeki
DeleteHAPANA.SIO KAULI YA CHADEMA WOTE,LABDA HUJUI UNALOLITETEA.
ReplyDeleteKama upinzani sasa wameishia kutembea na mabango ya kumtukana kiongozi wa nchi basi mwisho wao unakuwa mbaya na serikali inabidi iwadhibiti kinamna
ReplyDeleteHawa Chadema kilichobaki kwa sasa ni kuwakamata haraka haraka. Mbowe kuwa mwnyekiti kapewa na wenye chama chao, na sina hakika yanayofanywa na Mbowe kwa sasa kama yanakubaliwa na wanachadema wote, ni baadhi yao tu wanaounga mkono kuvunja sheria za nchi maksudi kwa kisingizio cha demokrasia na shida ni urais ambao Mbowe,Msigwa,Lisshu na wny chama hicho walikula njama na kupokea watu walioshindikana na waliokuwa wakiwapigia kelele kwa ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kabala wakiwa nje ya Chadema, na walikula fedha kwa ajili ya mchakato huo na kuanza kufarakana na Dr Slaa na wngine. Hadi leo hawajibu swalila Dr Slaa kuwa Hao waliowapoka ni ASSETS au LIABILITIES?. Kwa sasa wanaona makosa makubwa walioyafanya na kujiokoa ni kuanzisha vituko kuanzia bungeni na nje ya bunge ili kuwafanya wapinzani kwa mwavuli wa UKAWA wasipate muda wa kuwauliza na kutaka maelezo ya kilichofanyika kabla ya uchaguzi 2015. Wapinzani kwa kifupi Mbowe anakiua chama na kama mnakataa mtaona hapo baadae, hawa wanapiga deal kupitia usanii wanaoufanya na kuwafanya wajinga kuozea vituo vya polisi. Mungu alisema wazi heshimuni mamlaka hapo duniani.
ReplyDeleteUKAWA MNAONA MABAYA TU,MBONA MAZURI HAMUYASEMI?MBONA VYAMA VINGINE WENYEWE WANAONA MAZURI KWA NINI NYIE SIO?
ReplyDeleteHEBU NENDENI KWENYE MASHULE,HOSPITALI NA KWINGINEKO MUONE KAMA HAKUNA TOFAUTI AU MUENDELEZO KWA MUDA HUU MFUPI WA JPJM.KWANI MBONA HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA?KWANI KAZI YA VYAMA PINZANI KUKOSOA TU?SINA CHAMA LAKINI JAMANI WAKATI MWINGINE MNAFANYA TUAMINI MNA UCHU WA MADARAKA TU.DADANGU NI MMOJA KATI YA WASANII WALIOKUWA WANATUMBUIZA KABLA YA MIKUTANO YENU NA SASA ANATAKA KUTOA KIBAO CHA WIMBO WA KUMSIFIA MAGUFULI,SUBIRINI.NA HIYO ROHO YENU YA USHINDANI USIO NA MAANA IKASHINDWE KWA JINA LA YESU.PEPO WABAYA AWATOKE,MSITULETEE YA KULETWA SISI,HATUJAZOEA.
Teh,teh,teh mbona washindwe.
Delete