Mbunge wa Kawe, Halima Mdee Ataja Rapper wa Kibongo Anayemkubali zaidi Bongo

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amesema Rapper wa kibongo anayemkubali zaidi ni Roma Mkatoliki kwasababu anaimba hali halisi, anatumia sanaa kuburudisha na kuelimisha kwa wakati mmoja.

Je, wewe ni rapper gani wa bongo unamkubali?

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sema tu kwa kuwa aliwasifia wakati wa kampeni.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad