Meno ya Diamond Platnumz Yana Thamani ya Shs Milioni 11
12
June 08, 2016
Msanii Diamond amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.
My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?
Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Tags
alie juu tunamgonjea chini awe ba jino ka dhahabu pempe au almasi inhusu kujianika maskini mtoto wa tandale unajua maskini ajipata tena ndio shee shee pole kaka unasikitisha sana
ReplyDeletemaoni yako ni sawa na yana msingi, ila namuona Diamond kama mtu makini kidogo, na mwenye upeo wa anachokifanya. angalia anavyo invest kwenye label yake, angalia managemant yake, angalia anavyojiimarisha kwa kununua na kumiliki vitu mbalimbali kama majumba, angalia anvyojitia kwa jamii yake, mpaka misikiti anajenga, angalia mikataba mbalimbali anayoingia na makampuni mbalimbali.
ReplyDeletekwa mtazamo wangu, huyu bwana ana strategies ( mikakati ya kibiashara) kwa level aliyofikia anafanya mambo kwa malengo, ama weka image flan ambayo anajua mwisho wa siku itaendelea kumpa PESA.
hatapanyi hela, ni mkakati wa kupata MORE CASH....
Ulimbukeni,unaiga hata visivyompendeza Mungu?
ReplyDeleteboya hili
ReplyDeleteBloody hell , hebu nyinyi tafuteni kazi za kufanya .
ReplyDeleteIs this News ?
Mambo ya maana yanatukia ulimwenguni hamuyaandiki
Who the fuck is Diamond anyway? Do you know that some African students have been murdered in India last night, and this is more important to know than this self serving Pilock !
Ana umetumwa ?
Khaa !,meno ya Diamond ? is that News ? Prick
UKIWA NACHO KITUMIA UKIKOSA KIJUTIE!! HATA SIONI SABABU KWA NINI ANAZO HALAFU ASIZITUMIE. UNAKATA AKAZITUMIE WAPI????NDIO MATUMIZI YENYEWE HAYO. MTU ANAKODI NYUMBA KWA MILIONI 21,000 KWA SIKU AMBAZO ZINAPOTEA KABISA. MENO YA DIAMOND YANAPANDA DHAMANI KWANI BAADA YA MIAKA KAMA KUMI HIVI YANAWEZA KUWA MARA 5 YA DHAMANI YA SASA. PIA INAWEZA IKAWA NI NJIA YA KUIFADHI HELA MAANA GOLD NINAVYOJUA NI KUWA INAPANDA THAMANI KILA KUKUCHA. BIG UP DIAMOND!!!!
ReplyDeletenaombeni namba ya diamond
ReplyDeletesioni tatizo kwa yeye diamond kufanya kitu kama hicho, ame invest kwenye dhahabu,ana nyumba kadhaa(Real estate)s so hiyo sio kitu mbaya.
ReplyDeleteTafuta na diamond chain kijana upate ku perfect jina brazaaaaa.
sioni tatizo kwa yeye diamond kufanya kitu kama hicho, ame invest kwenye dhahabu,ana nyumba kadhaa(Real estate)s so hiyo sio kitu mbaya.
ReplyDeleteTafuta na diamond chain kijana upate ku perfect jina brazaaaaa.
mbona hayo meno yamekaa kama mla ugoro ni mabaya yamekaa kama yameungua loh po!
ReplyDeleteHela si za kwake?labda kafanya investment ya kutosha.
ReplyDeleteUmechemsha Diamond. Huyo mshauri wako anakupoteza. Umechusha sana, plz bandua hiyo dhahabu
ReplyDelete