Mitumba Inapozuiwa Bila Kuwa na Misingi ya Kujenga Viwanda
6
June 09, 2016
Hivi Unapozuia Mitumba Isiingie Nchini Wakati Huna Kiwanda Hata Kimoja Cha Kutengeneza Nguo Uko Sahihi Kweli? Wananchi Wa Vijijini Wamezoea Kuvaa Nguo Za Bei Nafuu Sh 1000 Wateweza Kweli Kushona Nguo Za Batiki? Nadhani Magufuli Angeanzisha Kwanza Viwanda Vya Nguo Ndipo Azuie Mitumba..
Siweki neno naogopa kufungwa
ReplyDeleteUnaogopa kufungwa kitu gani mpumbavu wewe. Sema sina hoja ya kuchangia mjinga kabisa wewe. Nyie ndio UKAWA vilaza ambao kila kitu ni lazima mpinge. Nyani mkubwa sana wewe.
DeleteNani kakuambia vijiji tumezea kuvaa nguo za bei nafuu?
ReplyDeleteumezoea kukaa mjini wewe,sasa ngoja mitumba isiingizwe nchini uone kama tutatembea utupu.
Hata batiki ziko za bei poa,mitumba watu tumepata na magonjwa ya ngozi.Mbona ziko nchi nyingine tena masikini kushinda TZ mitumba hawaruhusu?
ReplyDeletemdau liyeleta hoja hii mbona utumii akili
ReplyDeleteUmepata ugonjwa wa ngozi kwa kuvaa mtumba ua kwa sababu we mchafu huogi hufui nguo....we unanunua mtumba huufui unauvaa wiki unategemea nn wakati hayo manguo yanakuwa yamepuliziwa dawa..uchafu wako ndo magonjwa yako
ReplyDelete