Mrembo Malkia Afunguka "Nimechoshwa Kufananishwa na Lulu Michael"

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery amesema anakerwa na kitendo cha watu wengi kumfananisha na muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Akizungumza na gazeti hili, Malaika alisema huko nyuma alipokuwa akifananishwa na msanii huyo hakujali, lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda imekuwa ni shida hadi wengine wanamsimamisha.

“Unajua kufananishwa na mtu siyo tatizo, lakini kwa hali ilivyo hivi sasa lazima mtu usikie kuchoka kabisa kwa sababu hata wakati mwingine unaendesha gari mtu anakusi mamisha halafu akikuangalia usoni vizuri anaondoka, anasema alidhani ni Lulu,” alisema Malaika.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ufanane na luluuu!!!???? shit huna uzuri wa lulu hata robo umenifanya nimpende lulu ghafla wakat mi sikuwa shabiki yake wala

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona huyu ni mzuri kuliko lulu!! ebu potea kuleee

      Delete
  2. wala amfanani acha kutafuta kiki

    ReplyDelete
  3. you are so beatiful Malaika i dont know any of you but when i look ar your picture i say yes you are na kila binadamu ana uzuri wake

    ReplyDelete
  4. Wewe ni zaidi ya LULU mama umehumbika mshukuru mwenyezi mungu. Kufananishwa siyo vibaya kwani kuna wengine wamekufanisha na Malkia CLEOPTRA aliyekuwa mtawala wa misri alyeuawa na nyoka aina ya COBRA, ambapo nyoka huyo ndiye anayejulikana kama EGYPTIAN- COBRA. Hii unainaje mdada?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad