MREMBO Naj Kapatikana na Kaongea Kuhusu Ujauzito wa Baraka da Prince

June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea mbele ya AyoTV na millardayo.com

‘Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisa‘ Naj Tazama Video:
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana mimba huyo ni kiki tu, Mr blue hakurudii tena kama ndiyo bado unamtaka sababu ameshaendelea na maisha sasa hata ufanye nini na nini Mr Blue hakurudii

    ReplyDelete
  2. Mimba feki kibaaaaooo. Wengine walibeba mapacha wengine girls hahahahaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad